...
Friday, 27 October 2017
TANGAZO LA MUHIMU KWA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA UDOM 2017/2018

UNDERGRADUATE FIRST YEAR ORIENTATION TIMETABLE
CBSL ORIENTATION November 2017 (2)
CHS ORIENTATION TIMETABL...
BREAKING NEWS:HAYA HAPA MAJINA YA WANAFUNZI WALIOPATA MKOPO ZANZBAR 2017/2018

BODI YA MIKOPO YA ELIMU JUU
ZANZIBAR INAWATANGAZIA
WANAFUNZI WALIOTEULIWA KUPAT
A MKOPO MWAKA WA MASOMO
2017/2018 - AWAMU YA KWAN...
Thursday, 26 October 2017
RAIS MAGUFULI AFANYA UTEUZI WA VIONGOZI MBALIMBALI..WAMO WAKUU WA MIKOA 6 NA MAKATIBU WAKUU
UPDATES:Uteuzi wa Wakuu wa MikoaMkoa wa Manyara - Mkuu wa Mkoa ni Alexandar Pastor Mnyeti (Alikuwa DC wa Arumeru)Mkoa wa Rukwa - Mkuu wa Mkoa ni Joachim Leonard Wangabo (alikuwa DC wa Nanyumbu)Mkoa wa Geita - Mkuu wa Mkoa ni Bwana Robert Gabriel Lughumbi (alikuwa DC wa Korogwe)Mkoa wa Mara - Mkuu wa Mkoa ni Adam Kigoba Ally Malima (aliwahi kuwa kwenye baraza la mawaziri awamu ya nne)Mkoa wa Dodoma...
Wednesday, 25 October 2017
HAYA HAPA MAJINA YA WANAFUNZI WALIOPATA MKOPO AWAMU YA PILI BATCH 2 2017/2018
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu imetoa orodha ya awamu ya pili ya wanafunzi 11,481 wa mwaka wa kwanza waliofanikiwa kupata mikopo. Orodha hiyo ya wanafunzi ya awamu ya pili inapatikana hapa kwenye tovuti hii (www.heslb.go.tz) na itatumwa kwa vyuo husika. Vilevile,...