Wednesday, 11 June 2025

HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO ALHAMISI JUNI 12,2025

 


Magazeti ya leo

         

Share:

RC MRINDOKO AAGIZA HALMASHAURI KUNUNUA MASHINE ZA KURUTUBISHA CHAKULA


Mkuu wa Mkoa wa Katavi  Mhe. Mwanamvua Mrindoko ameziagiza halmashauri zote mkoani hapa kufanya tathmini ya kina itayoonyesha maeneo yenye uhitaji wa haraka wa mashine za kurutubisha chakula kwa lengo la kuboresha  hali ya lishe kwenye jamii.

Agizo hilo amelitoa Juni 10,2025 wakati akifunga kikao cha wadau wa lishe mkoani Katavi ambapo ambapo amewataka kufanya tathimini ya haraka ndani ya mwezi mmoja ziweze kununua mashine na kuzisimamia zifanye kazi ya kuongeza virutubishi kwenye chakula na mafuta ya kula.

"Utafiti wa awali utakaowezesha kujua hali ipo vipi, tunataka kufikia wapi na katika kipindi gani na maeneo gani yanahali mbaya,hali ya kati na maeneo gani hayana hali mbaya kupitia watoto waliopo mashuleni na kwenye kliniki, vituo vya afya na hospitali kwa namna itakavyoonekana kitaalamu inafaa,"

Mhe. Mrindoko ameagiza utafiti huu uweze kufanyika haraka ili kujua hali halisi ya udumavu iwezeshe kupanga vizuri mikakati ambayo itawezesha kufika kwa haraka eneo ambalo litaonekana na udumavu pia amewataka wananchi kuunga mkono jitihada hizi na mikakati mbalimbali itakayowezesha kuondokana na udumavu na kuboresha hali ya lishe kwa jamii nzima.
 
Aidha amemuagiza katibu tawala wa mkoa kusimamia mikakati ya lishe na kuongeza kipengere kinachohusiana na upatikanaji wa mashine hizo katika halmashauri zote na kwenye maeneo muhimu kama vile vitongoji mitaa shule za msingi na sekondari ili jamii nzima iweze kupata nafasi ya kupata virutubisho.

Share:

AIBU HIYO ILIFIKA MWISHO KATIKA NYUMBA YA KULALA WAGENI



Naitwa Chazz kutokea Manyara, hapo awali maisha yangu yalichukua mkondo usiotarajiwa wakati nikiwa katika nyumba ya kulala wageni huko Embu. Nilikuwa na mwanamke mmoja ambaye ndiye mke wangu kwa sasa.

Yote ilianza nilipokuwa kwenye uhusiano na mwanamke kutoka Moshi. Tulipendana sana, na hatimaye, akawa mama wa watoto wangu ambao kusema kweli nawapenda sana.

Hata hivyo, uhusiano wetu ulikabiliwa na tatizo kubwa, nalo ni kutoweza kwangu kumridhisha kitandani kutokana na kile alichotaja kuwa “mashine” yangu ndogo, hivyo haiwezi kufanya kazi vizuri tukiwa chumbani.

Aibu hiyo ilifika mwisho wakati tukiwa katika nyumba ya kulala wageni huko Moshi. Matamshi ya dhihaka kutoka kwa mke wangu baada ya kushindwa kumridhisha, yaliniacha nikijihisi nimedhoofika na kushindwa kabisa mambo.

Kusema kweli aibu ile haikuweza kuvumilika, haswa ukizingatia kuwa alikuwa mama wa watoto wangu. Nikiwa nimedhamiria kurudisha heshima yangu na kuokoa uhusiano wetu, nilitafuta msaada kutoka kwa Kiwanga Doctors.

Hao ni maarufu kwa utaalamu wao katika masuala ya afya na mahusiano. Nikiwa na matumaini kidogo, nilitembelea ofisi zao zilizopo huko Migori, Kenya na kuwaeleza shida yangu ambayo imekuwa ikinitesa kwa muda mrefu.

Walinipa mwongozo wa kiafya ulioundwa ili kuboresha utendaji wangu kitandani. Nikiwa nimechochewa na kukata tamaa na kutamani kurudisha upendo wa mpenzi wangu, nilikubali msaada wao kwa hamu.

Kadiri siku zilivyozidi kwenda, nilianza kuona mabadiliko chanya katika kujiamini na stamina yangu. Hatimaye nikiwa na ustadi mpya, nilimwendea mke wangu nikiwa na azimio jipya, nalo ni kuonyesha uwezo wangu mpya kitandani.

Siku hiyo nilimpa dozi ya nguvu sana hadi kumuacha akishangaa na kuvutiwa. Leo, ninapotafakari safari yangu, ninajawa na shukrani kwa nguvu ya mabadiliko haya kutoka kwa Kiwanga Doctors.

Ni watu wengi hadi sasa wamepata mafanikio, uponyaji na furaha kupitia huduma za Kiwanga Doctors ambao unaweza kuwasiliana na kwa namba +255 763 926 750 au tembelea tovuti yao, maelezo zaidi kuhusu huduma zao ambazo zimewasaidia wengi.
Share:

Tuesday, 10 June 2025

DKT. MPANGO ASHIRIKI UFUNGUZI WA MKUTANO WA BAHARI NCHINI UFARANSA


Makamu Rais wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akishiriki ufunguzi wa Mkutano wa Tatu wa Umoja wa Mataifa kuhusu Bahari (UNOC3), unaofanyika Jijini Nice nchini Ufaransa tarehe 09 Juni 2025.


Share:

KARIBU MERCY COLLECTIONS & OUTFIT - MITINDO YA KISASA KWA WOTE - POPOTE ULIPO!



Je? Unatafuta nguo bora zenye muonekano wa kipekee? 

Je, unapenda kuvaa kwa mitindo inayokwenda na wakati – iwe ni casual, official, au streetwear ya kisasa?

  Karibu Mercy Collections & Outfit – mahali ambapo mitindo hukutana na ubora!


👗 Nini Tunachotoa?

Tunajivunia kuwa duka linalokupa kila unachohitaji kujipendezesha – kwa wanawake na wanaume pia! Bidhaa zetu ni za kisasa, za kuvutia, na zenye ubora unaodumu.

🔹 Aina za Nguo:

👉Nguo za kila siku (casual wear)

👉Mavazi rasmi (official wear)

👉Mavazi ya mitindo ya mtaani (urban & trendy wear)

👞 Bidhaa za Kipekee:

👉Viatu vya kisasa – vya mitindo mbalimbali kwa ajili ya hafla, ofisini, au mtaani

👉Mikanda ya kuvutia – ya ngozi na ya kisasa kwa wanaume na wanawake

👉Mikoba ya kila aina – clutch, handbag, backpack na mingine mingi

👉Kofia za mitindo – perfect kwa vibes za mtaa au tamasha

👉Shuka laini za kifahari – kwa ajili ya nyumbani au zawadi

👉Maua ya mapambo – tengeneza mazingira yako yawe ya kuvutia na ya kupendeza! 🌺


🚚 Tunakufikia Popote Ulipo!

Tuna huduma ya usafirishaji mikoani kote Tanzania – iwe upo Dar es salaam, Arusha, Mbeya au Kigoma, bidhaa zako zitakufikia kwa haraka na usalama.


📍 Tupo Wapi?

Sisi tupo Mwanza, lakini mitindo yetu haina mipaka!

📞 Wasiliana Nasi Leo:

📲  +255 768 361 487


🛍️ Mercy Collections – Fashion with Style!

Tunachokupa si tu mavazi, bali mwonekano wa kipekee na kujiamini. Jiunge na wateja wetu wanaoridhika kila siku kwa mavazi yenye haiba ya hali ya juu!


#MercyCollections #FashionWithStyle #NguoZaKisasa #OutfitGoals #ClothingBrandTZ





















Share:

CHAMA CHA WALIMU TANZANIA CHAPATA VIONGOZI WAKE

Bi. Sharifa Mngwali(Mwakilishi  wa wenyeviti wa kitengo cha walimu wanawake)

Sharifa Hatibu Mngwali

NA. ELISANTE KINDULU, DODOMA.

CHAMA cha walimu Tanzania (CWT) kimehitimisha uchaguzi wake leo alfajiri mjini Dodoma katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Centre kwa kupata viongozi wa kitaifa watakaohudumu kwa kipindi cha mwaka 2025-2030.

Wajumbe 913 wa mkutano mkuu walioketi jana waliwachagua viongozi mbalimbali na matokeo yalikuwa kama ifuatavyo:

Seleman Ikomba (Rais wa chama) kura 608, Shaban Ambindwile(Makamu wa Rais) kura 236, Joseph Misalaba(Katibu Mkuu) kura 742, Protas Magesa(Naibu Katibu Mkuu) kura 391 na Nashon Kidudu (Mweka Hazina) kura 913.

Wengine ni Pili Omari (Mwakilishi wa walimu vijana), Shani Ulumbi (Mwakilishi wa walimu wenye ulemavu) na Elizabeth Werema (Mwakilishi  wa walimu wanawake).

Nafasi ya wadhamini wa Chama imechukuliwa na Ally Mketo, Evod Enerico na Mwamaja wakati Proper Mutungi ameshinda nafasi ya mwakilishi wa TUCTA Taifa.

Uchaguzi huo ulitanguliwa na ule wa walimu wa kitengo cha walimu wanawake ambapo Bi. Sharifa Hatibu Mngwali alichaguliwa kuwa Mwakilishi wa wenyeviti wa kitengo cha walimu wanawake kwa kupata kura 240 dhidi ya Agness Nyamsusa (79) na Oliva Mangu (16).

Wajumbe wa kamati ya walimu wanawake ilichukuliwa na  Mwl. Tenisia Katukuru, Mwl. Lulu Njau, Mwl. Fortunata Muyanga, Mwl. Mgode, Mwl. Matambo na Mwl. Edina.

Mkutano Mkuu wa Chama hicho ulifunguliwa na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mh. Doto Mashaka Biteko kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ,Mh. Samia Suluhu Hassan.

Viongozi wengine waliohudhuria mkutano huo ni pamoja na Waziri wa nchi ofisi ya Waziri mkuu, kazi, vijana, ajira na wenye ulemavu, Mh. Ridhiwani Jakaya Kikwete na viongozi wengine wa Serikali.


Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger