Na mwandishi wetu, Dar
Wakala wa Nishati Vijijini (REA) umesema kuwa hadi kufikia mwishoni mwa mwezi Desemba 2024, vijiji vilivyounganishwa na umeme nchini vimefikia 12,301 kati ya vijiji 12,318 ambayo ni sawa na asilimia 99.9.
Hayo yamebainishwa leo tarehe 5 Januari, 2025 na Mkurugenzi wa Umeme...
Na Mwandishi Wetu,
Manyara
Waziri wa nchi Ofisi ya Rais ,Mipango na Uwekezaji Profesa Kitila Mkumbo amepengeza Wawekezaji wazawa wa kiwanda cha Mati Super brands limited kwa kulipa kodi stahiki za serikali na kutengeneza ajira kwa vijana hivyo kuchochea maendeleo ya Mkoa wa Manyara na Taifa...
Na Regina Ndumbaro Ruvuma
Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati anayeshughulikia umeme na nishati jadidifu Dkt. Khatibu M. Kazungu, amesema kuwa umeme ni muhimu kwa uchumi, uhai, na maendeleo ya kisiasa na kijamii hivyo ni jukumu la Wizara kuhakikisha wananchi wanapata nishati ya uhakika.
Ametoa...
Kabla sijaajiriwa nilikuwa kwenye uhusiano na binti mmoja hivi na nilifanikiwa kumpa ujauzito na kwao baada ya kugundua ni mjamzito wakaamua kumleta nyumbani na nikakubali ujauzito nao wakaniachia binti nilee ule ujauzito mpaka atakapojifungua.
Nilifanikiwa kulea ujauzito kwenye hali ngumu sana mpaka...
Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Habari na Elimu ya Mpiga Kura (Elimu) Dkt. Rose Likangaga akifunga mafunzo hayo kwa niaba ya Mjumbe wa Tume, Dkt. Zakia Mohamed Abubakar.
Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Habari na Elimu ya Mpiga Kura (Elimu) Dkt. Rose Likangaga akifunga mafunzo...