-Wananchi wahamasishwa kuchangamkia fursa
-Wamshukuru Rais Samia kwa programu hiyo
Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Mhe. Kanali Patrick Sawala amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kupeleka mradi wa majiko ya gesi (LPG) ya kilo sita kwa bei ya ruzuku ya 50%...
Na Regina Ndumbaro, Ruvuma
Watendaji wa ngazi ya Mkoa wa Ruvuma kutoka Wilaya za Mbinga, Nyasa, na Songea wamepatiwa mafunzo ya jinsi ya kusimamia zoezi la uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura katika maeneo yao.
Mafunzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa Jeshi la Wananchi, Chandamali, na...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) amesema kuimarika kwa miundombinu ya Mahakama ni hatua muhimu itakayowawezesha wananchi kupata huduma katika mazingira mazuri, salama na rafiki.
Ameyasema hayo leo Januari 1, 2025 wakati akiweka Jiwe...
Katika kuufunga mwaka 2024 kwa huduma bora, Benki ya CRDB imefungua matawi mapya mawili mkoani Mara yaliyopo Mugango katika Wilaya ya Musoma Vijijini na Sirari wilayani Tarime.
Afisa Mkuu wa Biashara wa Benki ya CRDB, Boma Raballa amesema uzinduzi wa matawi hayo ni sehemu ya jitihada za...
Na Helena Magabe - Tarime
MBUNGE wa Jimbo la Tarime mjini Michael Kembaki amesema ulinzi na usalama Tarime uko vizuri licha ya kuwa amekerwa na Mbunge wa Kurya Magharibi Nchini Kenya Matias Rhobi kuhamasisha katiba mpya nchini katika Jimbo lake na kuleta uchochezi kwa wananchi.
Akizungumza...