Na Marco Maduhu,SHINYANGA
BONANZA la Michezo Dr. Samia/Jumbe Holiday limeendelea kushika kasi katika viwanja vya CCM Kambarage Mjini Shinyanga, kwa kuchezwa michezo mbalimbali.
Jackline Isaro (kulia) akicheza bao mara baada ya kuzindua bonanza hilo.
Mratibu wa bonanza hilo Jackline Isaro akizungumza...
Tuesday, 31 December 2024
RAIS SAMIA AMLILIA JAJI WEREMA

Rais Samia Suluhu Hassan ametuma salamu za pole kwa familia ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali mstaafu, Jaji Frederick Werema, huku akiwataka kuwa na subira na imani kufuatia kifo cha nguli huyo wa sheria nchini.
“Nimepokea kwa masikitiko taarifa ya kifo cha
Mwanasheria Mkuu wa Serikali mstaafu,...
Monday, 30 December 2024
SERA YA MADINI NGUZO MUHIMU KUIMARISHA SEKTA YA MADINI – MBIBO

⚪ Yasaidia Ukusanyaji wa Mapato ya Serikali zaidi ya Trilioni 1.93 kati ya 2021 na 2024
📍 Morogoro,
Imeelezwa kuwa Sera ya Madini ya 2009 imekuwa nguzo muhimu katika kuimarisha Sekta ya Madini, japokuwa kuna haja ya kuhuisha sera hiyo ili kuendana na mabadiliko ya sasa pamoja...
NYOTA MPYA YA TANZANIA: RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AONGOZA MAGEUZI YA KIUCHUMI

Tanzania, ambayo kwa muda mrefu imeonekana kama moja ya nchi zenye viwango vya juu vya kiuchumi katika Afrika Mashariki, sasa inavuma kwa uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan. Tangu kuchukua madaraka mnamo Machi 2021, Rais Samia amejitokeza kama mtu wa mageuzi, akiiongoza nchi kuelekea utulivu, usawa,...
Sunday, 29 December 2024
KUNYWA FURAHA GINGER LIFE SWEET - KINYWAJI CHA MAAJABU! , FURAHA TANGAWIZI IPO PALE PALE!!

Furaha Ginger Life Sweet: Kinywaji kilichojaa furaha, afya, na nguvu.
Furaha Limited maarufu kwa utengenezaji wa Kinywaji Furaha Tangawizi imekuletea kinywaji kingine cha asili Furaha Ginger Life Sweet ambapo pia kina nguvu ya Tangawizi (Ginger) kukufanya...
UWT YAKEMEA TABIA ZINAZOKWAMISHA WATOTO KUENDELEA NA MASOMO

📍28 DISEMBA, 2024 - IRINGA
Mwenyekiti wa UWT Taifa Ndg Mary Pius Chatanda (MCC) amewataka wazazi kuacha mara moja tabia ya kuozesha watoto wakiwa na umri mdogo au kuwasafirisha mikoani kwenda kufanya kazi za ndani.
Akizungumza na wananchi wa Igowole mkoa Iringa, Chatanda amesema;
"Rais Samia...
Saturday, 28 December 2024
THE BLESSED PRAISE AND WORSHIP TEAM KUFANYA MAAJABU KAGERA KUFUNGA MWAKA 2024!

Na Lydia Lugakila -Bukoba.
Tamasha kubwa na la aina yake linataraji kunguruma Desemba 29,2024 saa nane mchana katika Viwanja vya Bukoba Sekondari lengo likiwa ni kumsifu Mungu na Kumwabudu na Kumshukuru kwa ajili ya mwaka huu 2024.
Akizungumza na Malunde 1 blog mmoja wa walezi...