
WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda amesema Tanzania inahitaji kuongeza uwekezaji katika sayansi na teknolojia ili kuwa na rasilimali watu mahiri wenye uwezo wa kuendeleza rasilimali zilizopo nchini.
Amesema bila kuwekeza katika maeneo hayo, watakwama na badala yake, rasilimali...