Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) imetwaa kwa mara ya tatu mfululizo Tuzo ya Mwajiri bora wa mwaka kwenye Sekta ya Umma katika halfa ya Usiku wa Tuzo kwa Mwajiri bora kwa mwaka 2024, uliofanyika mwishoni mwa Juma Jijiji Dar es Salaam.
Katika utoaji huo wa Tuzo ambapo Mgeni Rasmi alikuwa...
Na Dotto Kwilasa,Dodoma
Shirika la Abilis Foundation lenye makao yake makuu nchini Ufaransa limefadhili Mradi wa Kuimarisha Uongozi kwa Watu Wenye Ulemavu utakaotekelezwa na Taasisi ya Foundation for Disabilities Hope inayoendesha shughuli zake Dodoma.
Hayo yameelezwa Jijini Dodoma na Mkurugenzi...
Leo ni tarehe 1 Desemba 2024, ambapo dunia inaadhimisha Siku ya UKIMWI Duniani. Kitaifa, maadhimisho haya yamefanyika Mkoani Ruvuma yakiongozwa na mgeni rasmi, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Mpango.
Akitoa taarifa yake, Waziri wa Afya nchini, Mheshimiwa...
Siku ya Ukimwi Duniani, Imeadhimishwa Kitaifa leo tarehe 01/12/2024, maadhimisho yamefanyika katika Uwanja wa Majimaji, Manispaa ya Songea, mkoani Ruvuma.
Hafla hii imeongozwa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango, ambaye amesisitiza azma...
Baadhi ya wanufaika katika picha ya pamoja na mgeni rasmi
Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana Amina Makilagi akiongea katika hafla hiyo
Makamu Mkuu wa wa chuo cha SAUT Prof. Costa Ricky Mahalu akiongea katika hafla hiyo
Wanufaika wakifuatilia matukio katika hafla hiyo
Wanufaika wakifuatilia matukio katika...
Wadau wa Sekta ya Ukarimu na Utalii wameaswa kushirikiana na Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) ili kuboresha utoaji huduma katika sekta hiyo.
Ushauri huo umetolewa Mkuu wa Wilaya ya Bahi, Mhe. Rebecca Nsemwa, kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Mhe. Rosemary Senyamule, tarehe 29...
Utendaji kazi wa kiwango cha juu wa Rais Samia Suluhu Hassan, umewezesha eneo kubwa la nchi kuwa na uhakika wa kupata maji safi na salama kwa mijini na vijijini hali iliyoifanya Serikali kutaka mafanikio hayo yalindwe.
Ikumbukwe kuwa hadi kufikia Februari 2024, hali ya upatikanaji wa...