
Wiki ya huduma kwa mteja ikiwa inaendelea, Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imetembelea wateja wake katika maeneo ya Msasani, Masaki, Mwananyamala wilayani Kinondoni kwa lengo la kubadilishana nao mawazo juu ya uboreshaji huduma za maji.
Akizungumza na wateja mbalimbali,...