Sunday, 6 October 2024

RAIS WA ZANZIBAR, DKT. MWINYI AONGOZA HAFLA MAALUM YA SHUKRANI YA "UZAZI NI MAISHA" KUPUNGUZA VIFO VYA MAMA NA MTOTO

 04 Oktoba 2024, Zanzibar: Katika jitihada za kuboresha huduma za afya ya mama na mtoto, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi ameongoza hafla maalum ya Shukrani ya "Uzazi Ni Maisha", Oktoba, 04  2024 Ikulu Mjini Zanzibar.  Tukio...
Share:

KITUO CHA AFYA SEGESE KIANZE KAZI IFIKAPO MWEZI OKTOBA - WAZIRI NDEJEMBI

  Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe Deogratius Ndejembi akitembelea  kituo cha afya Segese Halmashauri ya Msalala  NA NEEMA ISRAEL - MSALALA Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe Deogratius Ndejembi amemtaka Mganga Mkuu wa Halmashauri...
Share:

HODI SIMIYU, NCHIMBI AKIANZA ZIARA YA SIKU 3

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akizungumza na wananchi wa Lamadi, Wilaya ya Busega, Mkoa wa Simiyu, leo tarehe 6 Oktoba 2024, ikiwa ni siku ya kwanza ya ziara yake ya siku tatu mkoani humo. Balozi Nchimbi ambaye ameambatana na Katibu wa Halmashauri Kuu...
Share:

Saturday, 5 October 2024

RAIS WA ZANZIBAR, DKT. MWINYI AONGOZA HAFLA MAALUM YA SHUKRANI YA "UZAZI NI MAISHA" KUPUNGUZA VIFO VYA MAMA NA MTOTO

  04 Oktoba 2024, Zanzibar: Katika jitihada za kuboresha huduma za afya ya mama na mtoto, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi ameongoza hafla maalum ya Shukrani ya "Uzazi Ni Maisha", Oktoba, 04  2024 Ikulu Mjini Zanzibar.  Tukio...
Share:

DAWA ILIYONISAIDIA KUBEBA UJAUZITO BAADA YA KUSUMBUKA SANA

Naweza kusema hakuna furaha anayokuwa nayo mwanamke kama kuitwa Mama, daima siwezi kuisahau siku ambayo nilimshika kwa mikono yangu mtoto wangu wa kwanza kwa mara ya kwanza. Chozi la furaha lilinitoka bila mwenyewe kujua, nilijikuta nalia tu kwa furaha niliyokuwa nayo, moyo wangu ulihemewa kwa furaha...
Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive

Copyright © 2025 MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger