
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Mhe. Rosemary Senyamule, amewataka Wakandarasi walioshinda Zabuni ya Ujenzi wa Majengo ya Chuo Kikuu cha Dodoma kupitia Mradi wa Elimu ya Juu kwa Mageuzi ya Kiuchumi (HEET) kuzingatia ubora katika ujenzi wa Majengo hayo na kukamilisha kwa wakati.
Hayo amesema , katika hafla...