Alizeti aina ya Sunbloom mbegu chotara zitakazosambazwa Msimu ujao kwa bei ya ruzuku na Wakala wa Mbegu
Wakala wa Mbegu za Mazao wamejipanga kugawa mbegu chotara za alizeti kwa wakulima kwa mfumo wa ruzuku.
Tayari tani zaidi ya 600 zipo na ziko kwenye mchakato wa kuziandaa ili ziingie...
Na Kadama Malunde - Malunde 1 blog
Dr. Manguruwe wa Zamahero, Dodoma, ni jina la mfugaji wa nguruwe ambaye ameanzisha juhudi za kukuza ufugaji wa nguruwe nchini Tanzania katika mradi maarufu wa Dr. Manguruwe Project kupitia Kampuni ya DR MANGURUWE PLC!
Habari njema ni kwamba Mfugaji huyu maarufu...
Na Hadija Bagasha Tanga.
NGAMIA 300 wamekamatwa kwenye hifadhi ya msitu wa Mwakijembe uliopo mpakani mwa Tanzania na Kenya, wakichungwa kwa lengo la kupata malisho.
Ngamia hao wamekamatwa Julai 23 mwaka huu katika msitu huo wamebaki watatu baada ya wengine kutoroshwa.
Mkuu wa Mkoa wa Tanga Balozi...
Mashine inayosaidia katika uleaji wa vifaranga vya kuku iliyobuniwa na Mwanafunzi wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT).
Na Nora Damian
Wafugaji kuku wa kisasa na kienyeji sasa wataondokana na adha ya kupata hasara kutokana na vifo vya vifaranga baada ya Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT)...