MBUNGE wa Singida Mashariki Miraji Mtaturu,amekabidhi mifuko 100 ya saruji na mtofali 1,000 kwa ajili ya kuanzisha ujenzi wa maabara za sayansi katika Shule ya Msingi Mang'onyi Shanta ikiwa ni kutimiza ahadi yake aliyoitoa wakati wa mahafali ya kidato cha nne mwaka jana 2023.
Msaada huo ameukabidhi...
Na Oscar Assenga, TANGA
MDHIBITI na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) wa zamani Profesa Mussa Assad amesema ni umuhimu kuwepo kwa ushirikiano wa pamoja ili kuhakikisha ujenzi wa Hospitali ya Kiislamu Mkoani Tanga unakamilika kwa wakati na kuanza kutoa huduma.
Profesa...
Kaimu Mkurugenzi wa Huduma za Ufundi kutoka Wakala wa Vipimo (WMA) Albogast Kajungu (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa Wakala hiyo, wanaoshiriki katika Maonesho ya Kitaifa ya Wakulima NaneNane (2024) yanayoendelea jijini Dodoma.WMA inatoa elimu kwa wadau wa kilimo na wananchi...
SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) limewashauri wajasiriamali kuzingatia matakwa ya kisheria katika masuala ya afya,usalama na mazingira kwenye usindikizaji wa bidhaa mbalimbali kwa lengo la kuzalisha bidhaa bora na salama.
Akizungumza Agosti 03, 2024 katika Maonesho ya Nanenane yanayofanyika katika...