Na, Mwandishi wetu kutoka - Dodoma.
Agosti 2, 2024 umefanyika uchaguzi wa kumtafuta mrithi wa Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Harold Sungusia na hatimae matokeo ya kura yameamua Boniface Mwabukusi kushikilia kiti hicho.
Mwabukusi ambaye alionekana kuwa imara na jasiri wakati kampeni...
Mkuu wa Chuo cha Sayansi za Afya Kolandoto, Shinyanga, Mwl. Paschal Shiluka akizungumza kwenye mahafali ya 12.
Na Elisha Shambiti - Misalaba Media
Mkuu wa Chuo cha Sayansi za Afya Kolandoto, Shinyanga, Mwl. Paschal Shiluka, amewataka wahitimu wa kozi za afya katika chuo hicho wasiifanye elimu waliyoipata...
Ingawa sijawahi kusomea mambo ya sheria mahali popote pale lakini katika miaka zaidi ya 15 katika viunga vya Mahakama sijawahi kushindwa kesi, mara zote huwa naibuka mshindi tu.
Jina langu ni Pascal, nimeshawahi kushtakiwa Mahakamani zaidi ya mara 10 kwa mashauri mbalimbali ambayo naweza kusema...
*Rais Samia aweka historia kubwa uzinduzi wa SGR
* Samia anajenga kilomita 1,800 za reli ya SGR, huku Awamu ya 5 ikianzisha ujenzi wa kilomita 721
* Tanzania sasa inaelekea kuwa na reli ndefu kuliko zote kwenye bara zima la Afrika
* Rais Samia ametimiza ndoto za marais wote waliopita tangu Tanzania...
Na Mwandishi wetu, Dodoma
Wizara ya Afya pamoja na ldara na Taasisi zake inashiriki Maonesho ya Wakulima Nanenane ambayo Kitaifa yanafanyika Viwanja vya nanenane Nzunguni Dodoma.
Huduma mbalimbali za Afya zinatarajiwa kutolewa katika maonesho hayo ikiwa ni pamoja na Elimu ya Afya kuhusu Mtindo...
Na Hamida Kamchalla, TANGA.
Kampuni ya Uwakala wa Meli Seafront Shipping Service (SSS), kwa mara ya kwanza imefanikiwa kuleta meli yenye shehena ya mizigo mchanganyiko
inayokadiriwa kuwa takribani tani (14,000) kutoka nchini Chiina wamoja hadi bandari yaTanga.
Hii inaweka alama ya kipekee...