
Mbunge wa Jimbo la Kishapu Mkoani Shinyanga Mhe. Boniphace Butondo na mdhamini wa ligi ButondoKishapu Shagi Cup
Na Sumai Salum - Kishapu
Timu ya Bodaboda Fc ya Kishapu mkoani Shinyanga imeibuka na ubingwa wa mshindi wa kwanza kwa bao la goli 1 kwa "Nunge" (0) dhidi ya Fama FC ya Igaga...