Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan imetenga jumla ya Shilingi Bilioni 58.288 kwa ajili ya kujenga daraja la Simiyu na daraja la Sukuma mkoani Mwanza.
Hayo yameelezwa wakati wa ziara ya ukaguzi katika daraja la Simiyu na...
Waziri wa maji Mhe. Jumaa Aweso (Mb) amekutana na kuzungumza na watumishi wa Mikoa kazi DAWASA Bagamoyo, Mapinga, Mabwepande, Tegeta, Mivumoni, Kawe pamoja na watumishi katika mitambo ya kuzalisha maji Ruvu juu na chini na kuwataka kufanya kazi kwa bidii na kuipenda kazi yao.
Waziri Aweso amesisitiza...
Mapema leo, mwenyekiti wa Taasisi ya Mama Ongea na Mwanao (MOM) akiongoza wasanii wa Filamu Tanzania kwenye kikao rasmi na Balozi wa Tanzania nchini Korea ya Kusini, Mheshimiwa Balozi Togolani Mavura jijini Seoul, Korea ya Kusini.
Wasanii hao wapo katika ziara ya siku kadhaa ya kujifunza mambo...