Friday, 31 May 2024

MISA TAN YATOA TUZO KWA RAIS SAMIA KULINDA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI

Makamu Mwenyekiti wa Taasisi ya Vyombo vya Habari Kusini mwa Afrika Tawi la Tanzania (MISA TAN) , Wakili James Marenga (kulia) akikabidhi tuzo ya kufanikisha  kulinda Uhuru wa Vyombo vya Habari nchini Tanzania kwa Msemaji Mkuu wa Serikali, Mobhare Matinyi kwa niaba ya Rais...
Share:

SWICA YAIINGIZIA SERIKALI DOLA ZA MAREKANI 2,773,000

  Na. Beatus Maganja, Bungeni Dodoma  Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Angellah Jasmin Kairuki (Mb) amesema katika kuongeza mapato yatokanayo na shughuli za utalii, Wizara yake imefanikiwa kuanza utekelezaji wa Uwekezaji Mahiri kwenye Maeneo ya Wanyamapori (Special Wildlife Investment...
Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © 2025 MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger