Wizara ya Kilimo imeendelea na mikakati kabambe ya uwekezaji kwenye miundombinu ya uhifadhi wa mazao ili kuhakikisha nafaka na mazao mbalimbali yanakidhi vigezo vya ubora katika soko na yanakidhi vigezo vya ubora vya Kimataifa.
Uimarishaji wa miundombinu hii inasaidia kuhakikishia nchi Usalama...
Na Mbuke Shilagi Bukoba
Mamlaka ya Mapato Tanzania TRA imewataka wafanyabiashara wa bodaboda kulipa kodi kwa mwaka Tsh. 65,000/= ambapo kodi ya TRA inalipwa kwa awamu nne sawa na Tsh. 16200/= kwa miezi mitatu.
Akizungumza katika kikao cha mafunzo ya elimu ya kodi na waandishi wa habari Aprili...