Makamu wa Rais Dkt Phillip Mpango akizindua mradi wa kuongeza upatikanaji wa maji kwa wastani wa lita 60 katika Jiji la Tanga na wilaya jirani za Muheza na Mkinga baada ya lita 45 za awali, mradi huo umeanza baada ya uzinduzi wa hati fungani ya Kijani ya Miundombinu ya Maji Tanga katika eneo la...
Friday, 23 February 2024
Thursday, 22 February 2024
Thursday, 1 February 2024
MRAJIS AWATAKA WAJUMBE WA BARAZA LA WAFANYAKAZI TCDC KUJADILI HOJA KWA UWAZI

Mrajis wa Vyama vya Ushirika na Mtendaji Mkuu wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika Dkt. Benson Ndiege akifungua kikao cha Baraza la Wafanyakazi wa Tume, Jijini Dodoma, (kushoto) Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimaliwatu Wizara ya Kilimo Bi. Hilda Kinanga, (kulia) Katibu wa Baraza Bi. Selestina...
DK. MWIGULU: GGML KAMPUNI KINARA INAYOKUZA MAHUSIANO MAZURI KATIKA SEKTA YA MADINI

Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Mwigulu Nchemba (kulia), akisalimiana na Ofisa Mkuu wa Fedha wa Kampuni ya AngloGold Ashanti (AGA), Gillian Doran (kushoto) aliyemtebelea ofisini kwake wiki iliyopita. Anayefuata kushoto ni Makamu Rais wa AngloGold Ashanti -GGML anayeshughulikia miradi endelevu na...