
Mkuu wa Wilaya ya Kishapu Mhe. Joseph Modest Mkude akizungumza wakati akifungua Mkutano Mkuu wa Nusu Mwaka wa wadau wa maji Wilaya ya Kishapu ulioandaliwa na RUWASA Kishapu.
Na Kadama Malunde – Malunde 1 blog
Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA) Wilaya ya Kishapu...