Wafanyakazi wa Barrick Bulyanhulu wakiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa kituo cha afya cha Bugarama kilichopo wilayani Msalala walipotembelea kituo hicho kwa ajili ya kutoa zawadi za mwaka mpya kwa wagonjwa waliolazwa kituoni hapo na kwa wafanyakazi wa kituo hicho.
Kaimu Meneja Mkuu wa...
TAARIFA KWA UMMA JUU YA UVUNJIFU WA MAADILI YA UANDISHI WA HABARI
Klabu ya Waandishi wa Habari ya Mkoa wa Mwanza (MPC), ni klabu iliyosajiliwa kwa sheria ya Society Act Mwaka 1994 na kupewa namba ya usajili ya SO 8262, ikiwa na dhima kuu ya kusimamia weledi wa uandishi wa habari ndani ya Mkoa...