Monday, 18 December 2023

Picha : WAANDISHI WA HABARI 120 MIKOA YA SHINYANGA, SIMIYU, GEITA NA TABORA WAPEWA SEMINA YA UWASILISHAJI , USAMBAZAJI NA UHAMASISHAJI WA MATUMIZI YA MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI YA MWAKA 2022

Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Christina Mndeme akizungumza wakati akifungua Semina ya Uwasilishaji , Usambazaji na Uhamasishaji wa Matumizi ya Matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022 yaliyoandaliwa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) kwa waandishi wa habari 120 wanachama wa Klabu za Waandishi wa Habari (Press Clubs) kutoka Mikoa ya Shinyanga, Simiyu, Geita na Tabora leo Jumatatu Desemba 18,2023 katika ukumbi wa Karena Hotel Mjini Shinyanga.

Mafunzo hayo yanayofanyika kuanzia Desemba 18,2023 hadi Desemba 19,2023 yanalenga kuvijengea uwezo vyombo vya Habari nchini katika kuchambua na kutafsiri matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi ili waweze kutekeleza majukumu yao ambayo ni pamoja na kuelimisha na kuhabarisha umma kuhusu matokeo hayo na kuhamasisha matumizi yake kwa ufanisi na weledi. 

Katika mafunzo hayo washiriki wanajifunza namna ya kupata na kusambaza matokeo, kuchambua na kutafsiri, kutapatiwa maarifa ya matumizi ya takwimu za Sensa katika kuandika habari na kuelimisha jamii kuhusu namna ya matumizi yake lakini pia kuwajengea uwezo washiriki kuhusu namna ya kutumia matokeo ya Sensa katika kufanya maamuzi na kutekeleza mipango na programu za maendeleo.

Picha zote na Kadama Malunde - Malunde 1 blog
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Christina Mndeme akizungumza wakati akifungua Semina ya Uwasilishaji , Usambazaji na Uhamasishaji wa Matumizi ya Matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022 kwa waandishi wa habari kutoka Mikoa ya Shinyanga, Simiyu, Geita na Tabora- Picha na Kadama Malunde - Malunde 1 blog
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Christina Mndeme akizungumza wakati akifungua Semina ya Uwasilishaji , Usambazaji na Uhamasishaji wa Matumizi ya Matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022 kwa waandishi wa habari kutoka Mikoa ya Shinyanga, Simiyu, Geita na Tabora

Kamisaa wa Sensa ya Watu na Makazi (2022) Mhe. Anne Makinda akizungumza wakati wa Semina ya Uwasilishaji , Usambazaji na Uhamasishaji wa Matumizi ya Matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022 yaliyoandaliwa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) kwa waandishi wa habari 120 wanachama wa Klabu za Waandishi wa Habari (Press Clubs)  kutoka Mikoa ya Shinyanga, Simiyu, Geita na Tabora leo Jumatatu Desemba 18,2023 katika ukumbi wa Karena Hotel Mjini Shinyanga.
Kamisaa wa Sensa ya Watu na Makazi (2022) Mhe. Anne Makinda akizungumza wakati wa Semina ya Uwasilishaji , Usambazaji na Uhamasishaji wa Matumizi ya Matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022 kwa waandishi wa habari kutoka Mikoa ya Shinyanga, Simiyu, Geita na Tabora

Kaimu Katibu Tawala Mkoa wa Shinyanga, Moses Tesha akizungumza wakati wa Semina ya Uwasilishaji , Usambazaji na Uhamasishaji wa Matumizi ya Matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022 kwa waandishi wa habari kutoka Mikoa ya Shinyanga, Simiyu, Geita na Tabora
Meneja Takwimu Mkoa wa Shinyanga Eliud Kamendu akizungumza kwa niaba ya Mtakwimu Mkuu wa Serikali wakati wa Semina ya Uwasilishaji , Usambazaji na Uhamasishaji wa Matumizi ya Matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022 kwa waandishi wa habari kutoka Mikoa ya Shinyanga, Simiyu, Geita na Tabora

Mwenyekiti wa Klabu ya Waandishi wa Habari Mkoa wa Shinyanga, Greyson Kakuru akizungumza wakati wa Semina ya Uwasilishaji , Usambazaji na Uhamasishaji wa Matumizi ya Matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022 kwa waandishi wa habari kutoka Mikoa ya Shinyanga, Simiyu, Geita na Tabora

Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga Mhe. Johari Samizi akizungumza wakati wa Semina ya Uwasilishaji , Usambazaji na Uhamasishaji wa Matumizi ya Matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022 kwa waandishi wa habari kutoka Mikoa ya Shinyanga, Simiyu, Geita na Tabora

Mtaalamu wa Habari na Mawasiliano NBS, Said Ameir akizungumza wakati wa Semina ya Uwasilishaji , Usambazaji na Uhamasishaji wa Matumizi ya Matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022 kwa waandishi wa habari kutoka Mikoa ya Shinyanga, Simiyu, Geita na Tabora

Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Christina Mndeme akiteta jambo na Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga Mhe. Johari Samizi (kulia).

Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Christina Mndeme (kulia) akiteta jambo na Kamisaa wa Sensa ya Watu na Makazi (2022) Mhe. Anne Makinda

Waandishi wa habari wakiwa kwenye Semina ya Uwasilishaji , Usambazaji na Uhamasishaji wa Matumizi ya Matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022 

Waandishi wa habari wakiwa kwenye Semina ya Uwasilishaji , Usambazaji na Uhamasishaji wa Matumizi ya Matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022 .

Picha zote na Kadama Malunde - Malunde 1 blog
Share:

HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO JUMATATU DESEMBA 18,2023

Share:

Sunday, 17 December 2023

Wimbo Mpya : NYANDA MADIRISHA OBHADO MALIGANYA - MAGANGA MBUNGE JIMBO LA MBOGWE

Share:

CHANZO CHA MAJI, MTO RUVUMA KUTUMIKA KUTEKELEZA MRADI WA MAJI CHIPINGO -MKALIWATA

NAIBU Waziri wa Maji Mhandisi Maryprisca Mahundi (Mb) amemuagiza Meneja wa RUWASA wa Wilaya ya Masasi aweze kuhakikisha vijiji nane vya Mnavira, Manyuri, Mkaliwata Chipingo, chikolopola, Mapili, Namyomyo na Raha Leo vinapata huduma ya maji kadri ya usanifu wake.

Mhandisi Mahundi ameyasema hayo Disemba 16, 2023 Mkoani Mtwara wakati wa ziara yake ambayo ametembelea na kukagua utekelezaji wa ujenzi wa mradi wa maji wa Chipingo-Mkaliwata wenye thamani ya shilingi Bilioni 3.9

Kadhalika Mhandisi Mahundi ameagiza vijiji hivyo viweze kufikiwa na huduma ya maji kabla ya mwezi Februari, 2024.

Naye Mbunge wa Jimbo la Lulindi Mheshimiwa Issa Mchungaela ameishukru Serikali kwa kutekeleza mradi huo, kupitia chanzo cha maji cha Mto Ruvuma

Hata hivyo Mradi wa maji wa Chipingo-Mkaliwata ni miongoni mwa miradi ambayo inatumia chanzo cha maji cha Mto Ruvuma.

Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive

Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger