Sunday, 19 November 2023

MWILI WA SALU NDONGO WAAGWA SHINYANGA, KUZIKWA SIMIYU

Na Marco Maduhu, SHINYANGA

MKUU wa Mkoa wa Shinyanga Christina Mndeme, ameongoza Wananchi na Watumishi wa Serikali Manispaa ya Shinyanga, katika Maombolezo ya kuuaga mwili wa marehemu Salu Ndongo ambaye alikuwa Mkuu wa Idara ya Ardhi na Mipango Miji Manispaa ya Shinyanga, Ibada iliyofanyika katika Kanisa la Waadventista Wasabato Shinyanga Mjini.

Marehemu Ndongo alikuwa Mtumishi wa Serikali Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga, alifariki dunia Novemba 17 eneo la Barabara ya Kalogo Mjini Shinyanga kwa ajali ya gari yake, na mwili wake umeagwa leo katika Kanisa la Wasabato Shinyanga, na umesafirishwa leo hii kwenda nyumbani kwake Jijini Mwanza, ambapo kesho atasafirishwa kwenda kuzikwa kwao katika kijiji cha Gangabilili wilaya ya Itilima mkoani Simiyu.
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Christina Mndeme akizungumza wakati wa kutoa salamu za Rambi Rambi, amesema aliupokea msiba huo kwa mshtuko mkubwa, huku akiwasihi wanadamu kila mmoja anapaswa kujiweka tayari sababu hakuna anaye jua siku wala saa ya kufikwa na umauti.

Amesema Serikali inatoa pole kwa watumishi wote, pamoja na familia ya wafiwa, huku akimpatia neno la faraja mjane wa marehemu, kwamba ashike sana msalaba na kumtumainia Yesu sababu yeye ndiyo mfariji na ni Baba wa Yatima na Wajane.
Nao baadi ya viongozi mbalimbali wakitoa salama za Rambi Rambi akiwamo Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Johari Samizi, Meya wa Manispaa ya Shinyanga Elias Masumbuko na Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Shinyanga Elias Masumbuko na Ofisi ya Mbunge Katambi, wametoa salamu za pole kwa familia ya Marehemu huku wakieleza kuwa msiba huo ni pigo kubwa.

Naye Mchungaji wa Kanisa la Waadventista Wasabato Shinyanga Mjini Razalo Mbogo, amesema msiba huo umegusa watu wengi sababu marehemu ndongo alikuwa akigusa maisha ya watu kutokana na utendaji wake kazi katika idara hiyo ya Ardhi.
RC Mndeme (kushoto) akimpa pole Mjane.

“Marehemu Salu Ndongo nimemfahamu kwa muda mfupi sana, alikuwa mtu mwenye kuangalia watu na kuhudumia haraka, hata mimi ameshawahi kunipatia huduma, nilipopata taarifa za msiba wake nilishutuka sana,”amesema Mchungaji Mbogo.

“Mungu anaponyamaza kimya kwa jambo lolote subiri na Mshukuru na usifadhaike Moyoni mwako, kifo cha Salu Ndongo huwezi jua kwanini Mungu alinyamaza, Mjane unapoona Mbingu zimenyamaza mtegemee Mungu, Yohana 14 inasema msifadhaike mioyoni mwenu mnamwanini Mungu niaminini na mimi,”ameongeza Mchungaji Mbogo.
Aidha, amesema kupitia Msiba huo uwasogeze watu kuwa karibu na Mungu na kumtanguliza kwa kila jambo pamoja na kuhudhuria Ibada Kanisani, siyo mtu akipatwa na Matatizo ndipo anamkumbuka Mungu, na kubainisha kwamba maandiko yanasema katika Kitabu cha Zaburi 90 kuwa siku za Mwanadamu kuishi ni miaka 70 akiwa na nguvu miaka 80.

Mtoto wa Marehemu Deogratius Ndongo akisoma Wosia wa Marehemu Baba yake, amesema alizaliwa mwaka 1967 katika Kijiji cha Gangabilili wilaya ya Itilima Mkoani Simiyu, na amefariki akiwa na miaka 56 ameacha Mjane na watoto Watatu.

TAZAMA PICHA HAPA CHINI👇👇
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Christina Mndeme akitoa salamu za rambirambi kwenye Ibada ya kumuaga Marehemu Salu Ndongo katika Kanisa la Wasabato Shinyanga Mjini kwa ajili ya kusafirishwa kwenda Jijini Mwanza kisha nyumbani kwao Kijiji cha Gangabilili wilaya ya Itilima mkoani Simiyu kwa ajili ya mazishi.
Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Johari Samizi akitoa salamu za Rambi Rambi kwenye Ibada ya kumuaga Marehemu Salu Ndongo.
Mchungaji wa Kanisa la Wasabato Shinyanga Mjini Razalo Mbogo akiongoza Ibada ya kumuaga Marehemu Salu Ndongo.
Meya wa Manispaa ya Shinyanga Elias Masumbuko akitoa salam za Rambi Rambi kwenye Ibada ya kumuaga Marehemu Salu Ndongo.
Mkurugenzi wa Manispaa ya Shinyanga Alexius Kagunze akitoa salamu za Rambi Rambi kwenye Ibada ya kumuaga Marehemu Salu Ndongo.
Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Shinyanga Mjini Anorld Makombe akitoa salamu za Rambi Rambi kwenye Ibada ya kumuaga Marehemu Salu Ndongo.
Mwenyekiti wa Wazazi CCM akitoa salamu za Rambi Rambi kwenye Ibada ya kumuaga Marehemu Salu Ndongo.
Mwenyekiti wa Mtaa wa Miti Mirefu Nassoro Warioba akitoa salamu za Rambi Rambi kwenye Ibada ya kumuaga Marehemu Salu Ndongo.
Katibu wa Mbunge wa Jimbo la Shinyanga Mjini Samweli Jackson akitoa salamu za Rambi Rambi kwenye Ibada ya kumuaga Marehemu Salu Ndongo.
Mtoto wa Marehemu Salu Ndongo akisoma Wosia wa Baba yake.
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Christina Mndeme akiwa na viongozi wengine kwenye Ibada ya kumuaga Marehemu Salu Ndongo.
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Christina Mndeme (kushoto) akimpa pole na faraja Mke wa Marehemu Salu Ndongo.
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Christina Mndeme (kushoto) akimpa pole na faraja Mke wa Marehemu Salu Ndongo.
Viongozi wa Kanisa la Wasabato wakiwa kwenye Ibada ya kumuombea na kumuaga Marehemu Salu Ndongo.
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Christina Mndeme akiwa na viongozi wengine kwenye Ibada ya kumuaga Marehemu Salu Ndongo.
Ibada ya kumuombea na kumuaga Marehemu Salu Ndongo ikiendelea.
Ibada ya kumuombea na kumuaga Marehemu Salu Ndongo ikiendelea.
Ibada ya kumuombea na kumuaga Marehemu Salu Ndongo ikiendelea.
Ibada ya kumuombea na kumuaga Marehemu Salu Ndongo ikiendelea.
Mwili wa Marehemu Salu Ndongo ukiwa katika Sanduku.
Familia ya Marehemu Salu Ndongo.

Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Christina Mndeme akitoa heshima za mwisho kwa Marehemu Salu Ndongo.
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Christina Mndeme akitoa heshima za mwisho kwa Marehemu Salu Ndongo.
Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Johari Samizi akiwa na viongozi mbalimbali wakiaga mwili wa Marehemu Salu Ndongo.
Zoezi la kuaga mwili wa Marehemu Salu Ndongo likiendelea.

Familia ya Marehemu Salu Ndongo wakiuaga Mwili wa mpendwa wao.
Familia ya Marehemu Salu Ndongo.
Mwili wa Marehemu Salu Ndongo ukiwa umebebwa kwa ajili ya kupakiwa kwenye gari kwenda nyumbani kwake Mwanza ambapo kesho utapelekwa Simiyu kwa mazishi.
Share:

HII DAWA IMENIFANYA NAWEZA KULA TUNDA VIZURI SASA!

Ukweli ni kwamba heshima ya kweli anayopewa mwanaume kutoka kwa mke wake ni pale ambapo anatimiza majukumu yake vizuri ya kuihudumia familia, na kubwa zaidi ni pale wakati wa kula chakula cha usiku, mume ahakikishe mke kala na kuridhika.

Wakubwa tunaelewana vizuri katika jambo hilo nyeti zaidi, huo ni uwanja wetu wa vita wa kujidai na kuonyesha uwezo wetu na kudhihirisha uanaume wetu.

Niseme katika ndoa yangu kuna kipindi nilikubwa na tatizo la kiafya ambalo lilipelekea mimi kushindwa kumridhisha mke wangu hadi akafikia hatua ya kuanza kunidharau na kutamka wazi wazi ataenda nje ya ndoa yetu.

Kwenye ndoa nimeishi kwa miaka mingi, nimeona mengi, nimepitia milima na mabonde, kupanda na kushuka, kulia na kucheka hadi sasa nipo na mke wangu.

Naweza kusema kama sio African Doctors ndoa yangu tayari ingekuwa ishavunjika, namshuru rafiki yangu mmoja aliyenipatia namba za mtu huyo, mimi huita namba hiyo namba ya maajabu kwa kile nilichotendewa.

Basi niliongea naye kuhusu changamoto yangu ya kushindwa kumfurahisha mke wangu, nakumbuka siku hiyo ya Jumamosi niliyoongea naye alisema tangu siku hiyo tatizo hilo litabakiwa kuwa historia katika maisha yangu.

 African Doctors alinitumia dawa ambayo nilitumia ndani ya muda mfupi tu niliweza kuona mabadiliko, mke wangu aliweza kufurahia sana hadi kufikia hatua ya kunipongeza sana kwa namna ambavyo niliweza kumpa kile ambacho anastahili kama mke mwenye ndoa yake halali kabisa.

Nakumbuka ilifikia hatua mke wangu akaanza kulia machozi ya furaha kwa namna ambavyo alikuwa akipata raha katika ndoa yake, aliamua na kuniomba masamaha kutoka na kejeli zake wakati sikuwa na uwezo wa kumtimizia.

Mke wangu aliniambia alikuwa anashikwa na hasira sana pale ambapo alikuwa hakihitaji huduma yangu na mimi sikuwa na uwezo, hilo lilimpa machungu mengi moyoni hadi kufikia hatua ya kuweza kuniropokea.

Niliona kosa lilikuwa langu la kutotafuta suluhisho mapema. Niliweza kumsamehe na sasa tunaishi vizuri katika ndoa yetu. Kwa kweli sitochoka kumshukuru  African Doctors.

Nitoe wito kwa wanaume wenzangu kutokaa kimya na changamoto ya ukosefu wa nguvu za kiume dawa za uhakika zipo kwa African Doctors .

Kumbuka African Doctors ana uwezo kumfanya mtu kuwa na bahati maishani mwake, kushinda michezo ya bahati nasibu, kukukinga na maadui zako, kukufanya ushinde migogoro kama ya ardhi, kuwa na mvuto wa kimapenzi, kuongeza mauzo katika biashara.

Pia anatibu magonjwa kama kaswende, kisonono, kifua kikuu, presha, kifafa, upungufu wa nguvu za kiume, kuvimba miguu, kaswende, vile vile anawezesha wanawake kubaba ujautizo, wanaume kutungisha mimba n.k.

Wasiliana na African Doctors kwa namba; +254 769 404965, tembelea tovuti yao; www.african-doctors.com au watumie email; africandoctorheals@gmail.com.

Mwisho.

Share:

DKT MAHERA : WATAKAOBAINIKA WAMEFANYA UZEMBE HANDENI TUTAWACHUKULIA HATUA

Naibu Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa anayeshughulikia Afya Dkt Wilson Mahera  akizungumza na waandishi wa habari  mara baada ya kutembelea na kukagua Hospitali ya wilaya ya Muheza
Naibu Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa anayeshughulikia Afya Dkt Wilson Mahera  akitembelea maeneo mbalimbali katika Hospitali ya wilaya ya Muheza kushoto ni Mganga Mkuu  wa Mkoa wa Tanga Dkt Japhet Simeo 
Naibu Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa anayeshughulikia Afya Dkt Wilson Mahera  akikagua hali ya upatikanaji wa dawa wakati alipotembelea Hospitali ya wilaya ya Muheza
Naibu Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa anayeshughulikia Afya Dkt Wilson Mahera  akikagua hali ya upatikanaji wa dawa katika Hospitali ya wilaya ya Muheza

Na Oscar Assenga Muheza

Naibu Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa anayeshughulikia Afya Dkt Wilson Mahera amefanya ziara ya kutembelea na kukagua hospitali ya wilaya ya Muheza huku kieleza kwamba kwa wale watakaobainika walifanya uzembe wilayani Handeni watachukuliwa hatua kali ikiwemo kuwanyang’anya leseni.

Dkt Mahera aliyasema hayo mara baada ya ziara hiyo ambapo alisema kwamba Serikali imefanya uwekezaji mkubwa kwenye sekta ya afya ili wananchi wapate huduma bora hivyo wao hawatakubali kuona watumishi wanakiuka maadili.

Alisema hivyo lazima watumishi wabadilike waache kufanya kazi kwa mazoea na vitendo hivyo visijirudie kwani kufanya hivyo kunapelekea kuzorotesha huduma hivyo niwasihi muendelee kutoa huduma nzuri na kufanya kazi kwa waledi katika kuwahudumia wananchi.

Dkt Mahera alisema yupo mkoani Tanga kwa ajili ya kuhudhuria mkutano wa madaktari wa meno hivyo akaona apite katika Hospitali hiyo kuangalia huduma za afya kutokana na kwamba Serikali ya imewekeza fedha nyingi kuwekeza kwenye sekta ya afya ikiwemo miundombinu.

“Kwa kweli niwapongeze mnaosimamia mradi huu wa Hospitali ya wilaya ya Muheza changamoto niliyoiona hapa ni maji Hospitali ya wilaya kama hii inapata maji kutoka Tang tumekagua maabara maji hakuna bahati nzurti mmechimba kisima na halmashauri imenunua pamp niagize mkamilisha haraka miuondombinu ya maji iweze kuingia kwenye maabara”Alisema Dkt Mahera

“Lakini pia watumishi fanyeni kazi kwa waledi na kujituma na kuendelea kuhakikisha watoto njiti pale wanapojitokeza waendele kuboresha huduma hizo kwenye maeneo yenu kama nchi tumepata mafanikio makubwa sana kuzuia vifo vinavyotokana na mama na mtoto.

Hata hivyo alisema kwamba katika bajeti ya mwaka kesho wataangalia namna ya kupata fedha kwa ajili ya kukamilisha mradi huo ambao ni muhimu kwa ajili ya utoaji huduma

“Mh Rais Dkt Samia Suluhu amekuja na mpango wa M-Mama ili mama anapohitaji huduma ya Rufaa anaipata na niwaambie kwamba kwa wale kwa wale ambao watabainika wanafanya kazi kwa mazoea na kukiuka maadili hatutawavumilia tutaendelea kuwachukulia hatua kali “Alisema

Hata hivyo alisema kwamba miaka 5 iliyopita walikuwa na Hospitali za wilaya 77 sasa zipo 177 za Serikali hivyo hilo ni jambo la kujivunia sana na huduma zinazotolewa kwenye hospitali hizo ni za msingi unakutana na huduma mbalimbali muhimu.

Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive

Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger