NA EMMANUEL MBATILO, BAGAMOYO
BODI ya Wakurugenzi wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limetembelea katika bandari ya Bagamoyo na Mbweni kwa lengo la kutazama mambo yanavyofanyika katika ukaguzi wa bidhaa na changamoto zinazopatikana ili kuboresha shughuli za ukaguzi katika bidhaa zinazoingia kupitia...
NA EMMANUEL MBATILO, DAR ES SALAAM
ALIYEKUWA Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la UN Women duniani na Makamu wa Rais wa Afrika Kusini Dkt.Phumuzile Mlambo Ngeuka amewasili nchini leo Novemba 6,2023 usiku huu kwaajili ya kushiriki katika Tamasha la 15 la Jinsia ambalo linatarajiwwa kufanyika Novemba...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ametoa kiasi cha Shilingi Bilioni 3.4 kwa ajili ya kuboresha miundombinu ya barabara, elimu, miradi ya maendeleo, afya na vifaa tiba katika halmashauri ya wilaya ya Mwanga Mkoani Kilimanjaro
Hayo yamebainishwa na Naibu Waziri wa...