Mkuu wa Wilaya ya Tarime, Kanali Michael Mntenjele, akisaidiana na viongozi mbalimbali wa wilaya hiyo kukabidhi kombe kwa kapteni wa timu ya Kewanja FC, Geofrey Emmanuel, baada ya kuibuka washindi wa Barrick North Mara Mahusiano Cup 2023,baada ya kuichapa timu ya Kerende FC bao 1-0 katika mechi...
Waziri wa Madini wa Malawi, Monica Chang'anamuno (kushoto) akimkabidhi tuzo ya mshindi wa jumla katika kipengele cha uhifadhi mazingira, afya na usalama mahala pa kazi, Mkurugenzi Mtendaji wa GGML, Terry Strong. Kulia ni Waziri wa Madini, Anthony Mavunde. Hafla hiyo iliyofanyika wiki iliyopita jijini...
Rais wa Chama cha walimu Tanzania (CWT)Leah Ulaya
Na Dotto Kwilasa,Dodoma
Wakati Uongozi wa Chama cha walimu Tanzania (CWT)ukiwa kwenye maandalizi ya Sherehe ya Siku ya Mwalimu inayotarajiwa kufanyika Desemba 13,2023 Jijini Mwanza,baadhi ya wanachama wake wametilia Shaka Sherehe hizo...