Na John Bera - Manyara
Timu ya Maafisa Wandamizi kutoka Vyombo vya Ulinzi na Usalama vya Zambia vinavyohusika na uzuiaji ujangili wamefika nchini kwa lengo la kujifunza namna Tanzania ilivyofanikiwa katika mapambano dhidi ujangili.
Timu hiyo iko nchini kwa siku tano kuanzia...
Mkuu wa Wilaya ya Ngara Kanali Mathias Kahabi akifungua mafunzo ya maadili kwa viongozi wa halmashauri ya wilaya ya Ngara. Mafunzo hayo yalifanyika katika ukumbi wa Kanisa Katoliki Ruleje Wilayani Ngara tarehe 02 Novemba,2023
Katibu Msaidizi Ofisi ya Rais Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa...
Na Mwandishi Wetu
KAMPUNI ya Mafuta ya Puma Tanzania kwa kushirikiana na Shirika la Amend wametoa tuzo kwa wanafunzi ambao wameibuka washindi wa michoro ya usalama barabarani kupitia kampeni ya Be Road Safe kwa njia ya sanaa.
Katika utoaji wa tuzo huo umefanyika katika Shule ya Msingi Kibugumo...