Sunday, 1 October 2023

MKUTANO MKUU WA CHAMA CHA WAANDISHI WA HABARI VIJIJINI 'RUJAT' WAFANYIKA DODOMA, MEENA ACHAGULIWA KUWA MWENYEKITI

Mwenyekiti wa Chama cha Waandishi wa Habari Vijijini (Rural Journalists Association of Tanzania (RUJAT), Neville Meena akizungumza kwenye Mkutano Mkuu wa Mwaka wa RUJAT uliofanyika katika ukumbi wa Mamlaka ya Hifadhi za Taifa - TANAPA Kanda ya Kati jijini Dodoma leo Jumapili Oktoba 1,2023 Na...
Share:

NEC YASAMBARATISHA TIMU YA TUME YA HAKI ZA BINADAMU SHIMIWI

Timu ya Kamba wanawake ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi wakimenyana katika moja ya Michezo yao. Michuano Shirikisho la Michezo ya Wizara na Idara za Serikali na Mikoa (SHIMIWI) imezidi kurindima katika viunga vya mji wa Iringa ambapo Timu za Kamba za Tume ya Taifa ya Uchaguzi ( ME na KE )zimeendeleza...
Share:

UBIA WA TWIGA WAONESHA ATHARI CHANYA ZA KIMAGEUZI ZA UCHIMBAJI MADINI NCHINI, YASEMA BARRICK

Rais na Afisa Mtendaji Mkuu wa Barrick, Mark Bristow, akizungumza na waandishi wa habari katika Mgodi wa North Mara juzi kuhusu athari chanya za ubia wa kimageuzi katika uchimbaji madini kwa kushirikiana na Serikali kupitia kampuni ya Twiga. Kushoto ni Meneja wa Barrick nchini, Melkiory Ngido. Mkuu...
Share:

HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO JUMAPILI OKTOBA 1,2023

...
Share:

Saturday, 30 September 2023

MAKAMU WA PILI WA RAIS ZANZIBAR ATEMBELEA BANDA LA GGML MAONESHO YA MADINI GEITA

Meneja Mwandamizi wa GGML anayeshughulikia mahusiano ya jamii, Gilbert Mworia akimpatia zawadi Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Hemed Suleiman alipotembelea banda la kampuni hiyo katika Maonesho ya Sita ya Tekonolojia ya Madini Geita. Suleima alikuwa mgeni rasmi katika ufungaji wa maonesho hayo. Meneja...
Share:

TPA YAPONGEZWA KUSHIRIKI NA KUDHAMINI MAONESHO YA SITA YA KIMATAIFA YA TEKNOLOJIA YA MADINI MKOANI GEITA.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi Prof. Godius Kahyarara ameipongeza TPA kwa kushiriki na kudhamini maonesho ya Sita ya Kimataifa ya Teknolojia ya Madini yaliyofikia tamati leo tarehe 30 Septemba,2023 Katika Viwanja vya EPZ Bombambili Mjini Geita. Amesisitiza umuhimu wa TPA kufanya Kampeni za Kimasoko...
Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © 2025 MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger