Benki ya CRDB imeingia mkataba wa makubaliano na Yanga kutoa kadi kwa wanachama wa klabu Yanga katika kuongeza ufanisi wa usajili na masuluhisho ya kifedha.
Akizungumza wakati hafla kusaini makubaliano hayo iliyofanyika Julai 1, 2023, Afisa Mkuu wa Biashara Benki ya CRDB, Boma Raballa amesema kadi...
Mashindano ya riadha, maarufu kama Mbio za kimondo yanayoandaliwa kwa pamoja baina ya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT) na Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA), ikiwa ni maadhimisho ya siku ya kimondo duniani kwa mwaka 2023 yamalizika kwa mafanikio makubwa huko Mbozi mkoani Songwe.
Akizungumza...
Na Marco Maduhu,KISHAPU
MWENYEKITI wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana ya Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Wilaya ya Kishapu Benard Benson Welema, amefanya Mkutano wa hadhara wa kusikiliza kero za Vijana wilayani humo na kuzitafutia ufumbuzi.
Mkutano huo wa hadhara umefanyika leo Julai 1, 2023 katika...