
ZAIDI ya watu 260 wanaripotiwa kufariki dunia nchini India na wengine 900 wamejeruhiwa baada ya treni mbili za abiria na nyingine ya mizigo kugongana huko katika Jimbo la Odisha lililopo Mashariki mwa nchi hiyo.
Ajali hiyo imetokea siku ya Ijumaa Juni 2, 2023 katika Wilaya ya Balasore katika Jimbo...