Meneja wa Bandari za Ziwa Victoria, Ferdinand Nyathi akiongea na waandishi wa habari akielezea utendaji kazi wa maboresho ya bandari hizo
***************
Na Mwandishi Wetu, Mwanza
MENEJA wa Bandari za Ziwa Victoria Ferdinand Nyathi ameelezea mafanikio makubwa ambayo yamepatikana kwenye bandari...
Waziri Wa Ujenzi na Uchukuzi Prof. Makame Mbarawa akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) leo Juni Jijini Dar es Salaam wakati akitoa taarifa kuhusu ujio wa ndege mpya ya mizigo aina ya Boeing 767 -300 ambayo inatarajiwa kuwasili nchini Juni 3,2023
**************
NA EMMANUEL MBATILO,...
Hospitali ya Rufaa Kanda Bugando jijini Mwanza imepokea vifaa tiba vya upasuaji wa ugonjwa wa fistula ya uzazi kutoka shirika la Americares, vyenye thamani ya shilingi milioni 234.2 vitakavyosaidia utoaji huduma ya matibabu ya ugonjwa huo.
Akizungumza Juni 01, 2023 kwenye hafla ya makabidhiano ya...
Watu 15 wa familia moja wameaga dunia nchini Namibia baada ya kunywa uji ulioharibika.
Hili ni miongoni mwa matukio mabaya zaidi nchini humo ya maafa yanayotokana na chakula kibovu.
Vyombo vya habari nchini humo vimeripoti kuwa familia hiyo ambayo ilikuwa imepigwa na njaa kupitiliza ilikunywa...
Jina langu naitwa Farida mkazi wa mkoa wa Katavi, umri wangu ni miaka 38, nipo kwenye maisha ya ndoa miaka 10 sasa na mume wangu yazidi, tulifunga ndoa ya kimila ambayo ilihudhuriwa na wazazi wa pande zote mbili.
Baada ya kuolewa mume wangu alinifungulia biashara ya kuuza nguo kwa ajili ya kuweza...
Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na dawa za kulevya (DCEA) imefanikiwa kukamata gunia 482 za bangi iliyokuwa tayari kusafirishwa kwenye masoko na imeteketeza jumla ya hekari 101 za mashamba ya bangi yanayokadiriwa kuwa na bangi mbichi gunia 550 katika eneo la Kisimiri Juu kata ya Uwalu,...