
Kamati ya siasa ya wilaya ya Chamwino ikiongozwa na katibu ndugu Sylivester Yaledi (Chief Yaledi) imetembelea mradi wa Bwawa la maji Membe lililopo kata ya Membe halmashauri ya Chamwino kukagua hatua ya utekelezaji mradi huo.
Kamati hiyo imeipongeza Tume ya Taifa ya Umwagiliaji NIRC kwa usimamizi...