Wafanyakazi wa FK Lodge wakiwa katika picha ya pamoja na Makamu Mkurugenzi wa FK Lodge , Bi Jane Matinde Kanga wakati wa Uzinduzi wa Lodge hiyo
****
Lodge mpya ijulikanayo kama FK lodge imezinduliwa mkoani Tabora na Mwakilishi wa Mstahiki Meya , Diwani wa Kata ya Ipuli, Mh Molo Juma Molo. Lodge...
Monday, 1 May 2023
JAMAA AZUA GUMZO MTANDAONI ALIVYOPIGA PICHA KICHWA CHINI AKIFUNGA NDOA NA MKEWE

NA ANDREW CHALE
MWALIMU wa Dance na mcheza dance mjini Arusha ambaye picha zake zimekuwa gumzo mitandao kuanzia Aprili 29, 2023, Kilumbo Steven amefunguka juu ya uwezo wake wa aina mbalimbali ya 'break dance' akiwa amepiga picha akiwa kichwa chini na miguu juu akiwa na Mke wake wa ndoa pembeni.
Akizungumza...
MTOTO ALIYEDAIWA KUFARIKI NA KUZIKWA AKUTWA AKIWA HAI

Wakazi wa Kijiji cha Salong’we kilichopo wilayani Magu mkoani Mwanza wamekumbwa na taharuki baada ya mtoto aitwaye Mabilika Wilson aliyefariki na kuzikwa tarehe 17 mwezi huu kupatikana akiwa hai katika Kijiji cha Mwangika wilayani Kwimba mkoani humo.
Wilson Bulabo ni baba mzazi wa mtoto huyo amesema...
JAMAA MWENYE WATOTO ZAIDI YA 550 APIGWA MARUFUKU KUSAMBAZA MBEGU ZAKE ZA KIUME

Jonathan Jacob Meijer (41) raia wa Uholanzi amepigwa marufuku kusambaza mbegu zake za kiume baada ya kugundulika kuwa ana watoto zaidi ya 550 duniani kupitia utoaji wa msaada wa mbegu za kiume za uzazi.
Mwanaume huyo mwaka 2017 alizuiwa kutoa mbegu za uzazi kwenye kliniki ya masuala ya uzazi nchini...
WARUDISHA MALI WAKIWA NA MATUMBO KAMA WENYE MIMBA

Ninaitwa Nathaniel kazi yangu ni uuzaji na usambazaji wa magari kutoka China kuleta Tanzania.Kazi yenyewe siyo kongwe sana kwangu ni kazi niliyoifanya kwa muda wa miaka mitatu sasa kabla sijaacha kujishughulisha na utowaji wa copper kwenye vyuma chakavu.
Kazi yenyewe niliipata baada ya kumfahamu...
YANGA YATINGA NUSU FAINALI CAF

MABINGWA Watetezi wa Ligi Kuu Tanzania bara timu ya Yanga imewatoa kimasomaso watanzania baada ya kutinga hatua ya Nusu Fainali ya Michuano ya Kombe la Shirikisho barani Afrika baada ya kutoka sare ya kutofungana na Rivers United kutoka nchini Nigeria mchezo uliopigwa uwanja wa Benjamin Mkapa jijini...