


























Kaimu Mkuu wa chuo cha Taifa cha Utalii (NCT) Dkt. Florian Mtey akizungumza alipokuwa akitoa hotuba yake ya kufungua rasmi Mdahalo wa maadhimisho wa sherehe za miaka ya 59 ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar uliofanyika katika Ukumbi wa mikutano wa Chuo hicho Jijini Dar es Salaam.
Mkufunzi katika Chuo cha Taifa cha Utalii (NCT) Dkt. Naiman Mbise akizungumza alipokuwa akitoa mada iliyohusu kutengeneza Viwango ili kutoa Huduma bora katika Seka ya Utalii.
Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam Idara ya Sayansi, Siasa na Utawala wa Umma, Dkt. Richard Mbunda akitoa mada iliyohusu Umoja na Mshikamano ndio nguzo ya kukuza uchumi wetu katika Sekta ya Utalii.
Kaimu Mkuu wa Chuo cha Taifa cha Utalii (NCT), Taaluma, Tafiti, na Ushauri Bi. Jesca William akizungumza alipokuwa akitoa salamu za utangulizi na kuwatambulisha wageni mbalimbali waliohudhuria Mdahalo huo.




* Walimkataza kutoka nje kuhofia watu watamkimbia au kumpiga kutokana na ugonjwa wake
* Alihangaika sana na kukata tamaa, sasa amshukuru Rais Samia kwa kuokoa maisha yake
Na Mwandishi Wetu
"Nilisikia Rais Samia anapita Nyakanazi na mimi kwetu ni pale pale Nyakanazi. Wazazi walinikataza, wewe usiende na hali hiyo uliyokua nayo watu wanakukimbia. Unaenda kufanya nini, watakupiga."
Hayo ni maneno ya Hamimu Mustapha Baranyikwa (15), mkazi wa kijiji cha Nyakanazi, Biharamulo, Mkoani Kagera, akisimulia tukio la tarehe 16 Oktoba, 2022, ambalo kamwe hatalisahau katika maisha yake.
"Kaka yangu akaniambia wewe nenda, itakavyokuwa itakuwa. Ninachojua (Rais) anaweza kukusaidia. Mimi kweli niliamka usiku sana ili wazazi wasinione, maana kama wangeniona wangenikataza."
Hamimu, ambaye wazazi wake walihangaika kumpeleka kwa waganga wa kienyeji na hata kuuza mali za familia bila mafanikio, alikuwa amekata tamaa kama angekuja kupona ugonjwa wake wa ajabu
Ngozi yake ilikuwa imeharibika, uso wake ukawa hautazamiki hadi watu wazima na watoto wakawa wanamkimbia na alishindwa hata kukunja na kukunjua vidole vya mikono yake kutokana na maradhi hayo.
Wahenga wanasema penye nia pana njia. Rais Samia Suluhu Hassan alipofika Nyakanazi wakati wa ziara yake ya mkoa wa Kagera, alimuona mtoto huyo amekaa pembeni ya barabara akiwa amenyong'onyea akawatuma wasaidizi wake waende kuongea naye wajue tatizo lake ni nini.
"Nilipofika nikakaa pembezoni mwa barabara. Ule msafara wake (Rais Samia) ulipofika, yale magari yake wakaniona. Waliokuwa wanaongozana naye (Rais) wakaniuliza maswali... Kuna mmoja aliyekuwa ameongozana nao ni dokta, akanishika ngozi yangu," alisema Hamimu.
Kwa mujibu wa kijana huyo, daktari aliyekuwepo kwenye msafara wa Rais Samia akasema kuwa akipelekwa Muhimbili wanaweza kujua chanzo cha ugonjwa wake wa ngozi na kumpatia matibabu sahihi.
Kufuatia ushauri wa daktari, Samia aliagiza mtoto huyo asafirishwe haraka kutoka Nyakanazi hadi hospitali ya Taifa ya Rufaa ya Muhimbili iliyopo Dar es Salaam kwa uchunguzi na matibabu.
Siku chache baada ya maagizo ya Rais, Hamimu akaanza kupatiwa matibabu katika Hospitali ya Muhimbili tarehe 21 Oktoba, 2022.
Hamimu alilazwa Muhimbili kwa matibabu kwa muda wa miezi sita kwa msaada wa Rais Samia.
Ilipofika tarehe 19 Aprili 2023, madaktari wake wakajiridhisha kuwa sasa mtoto huyo amepona na anaweza kurudi nyumbani kwao mkoani Kagera.
Kabla ya kurudi kwao Kagera, Hamimu ameomba aonane na Rais Samia kumpa shukrani zake uso kwa uso.
"Rais (Samia) natamani nimuone kwa macho, yeye analinganaje. Yaani naomba kabisa, mnisaidie nimuone. Kwa sababu jinsi maisha yetu yalivyo, mimi sidhani kama ningefika huku," alisema Hamimu.
"Sidhani kama ningepona. Ilifika hatua nikasema, mniache nife. Kwa jinsi nilivyohangaika kupona ilishashindikana. Isingekuwa yeye (Rais Samia) mimi mpaka muda huu sidhani kama ningekuwa hai."
Hamimu anasema kuwa baada ya wazazi wake kuhangaika kumtibu kwa waganga bila mafanikio, walimwambia kuwa wamefikia mwisho hawawezi kumsaidia tena, ndipo alipoamua kuufuata msafara wa Rais Samia kuokoa maisha yake.
Mtoto huyo amewashukuru pia kwa dhati madaktari na manesi wa Muhimbili kwa kumhudumia kwa upendo hadi alipopona.

Bila ya kujua mengi kiundani nikaamuwa kumtafuta dalali Robert kisha akaungana nguvu na wenzake hao wawili wakanipaia uwanja wenye hatua ishirini na tano kwa ishirini, nikawataka wao kumhusisha mwenyekiti ili kujiondoa kwenye migogoro isiyo na umuhimu kaika fedha zangu na ardhi yangu.
Kwao haikuwa shida nikawapatia fedha wakamlipa mwenyekiti na kiasi chao cha fedha wakachukuwa waliniambia kuwa mwenye kiwanja kile yuko mbali na hivyo alikabidhiwa Chicago na Mwifusyi wa kaimu nafasi hiyo, niliwahesabia pesa takimu milion thelathini na tano tukaandikishana wakaenda zao.
Nilipopumua tena baada ya muda na kuanza kushusha mawe,tofali pamoja na mchanga hapo ndipo nilipoanza kuchanganywa na majirani wakidai kuwa uwanja huwo ulikuwa wao na haukuwahusisha madalali wala mwenye nyumba aliyewakaimisha hakuwepo bali ni habari za kutengenezwa.
Haikuishia hapo na kesi wakanifungulia kwenye mahakama ya mwanzo, kila nilipojaribu kuleta mbele nyaraka za haki walizitelekeza kwa kuwa jirani zangu pia walikuwa na nyaraka nilizunguka kila kona kutafuta suluhisho na kila aina ya hakimu lakini sikupata msaada badala ya kuambiwa niondowe mawe, mchanga na matofali kwenye eneo lao.
Nilipomuhusisha rafiki yangu adam aliniambia kuwa kesi kama zile mara nyingi ni ngumu kushinda kwa kutegemea wanasheria na mahakimu akaniambi habari za daktari BAKONGWA na kunipa nambari zake za whatsapp +243990627777 .
Nilipomtafuta akanipa dawa za kutumia kwa muda wa siku mbili na kunihakikishia kuwa kila kitu kitakuwa sawa, mara baada ya kutuma dawa nilishangazwa kupokea ujumbe wa dalali ukinitaka tukutane tulipokutana akanirudshia pesa zangu na kunitaka radhi.Mahakamani nilikubali kosa na kuomba niuziwe uwanja huo upya na wamiliki halali.
Ninashukuru sana kwa msaada wa uhakika kutoka kwako daktari nitatembelea tovuti zako https://bakongwadoctors.com kutowa shukrani za dhati.
Na Oscar Assenga, Tanga