Familia ya Diwani wa kata ya Mjini Manispaa ya Shinyanga Mhe. Gulam Hafeez Mukadam (kulia) ikikabidhi sadaka ya vyakula katika kituo cha kulelea watoto wenye mahitaji maalum cha Buhangija Manispaa ya Shinyanga.
Na Kadama Malunde - Malunde 1 blog
Katika Muendelezo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani Familia...
Wednesday, 5 April 2023
LEAT WAENDELEA KUTOA MAFUNZO YA MFUMO WA UFUATILIAJI WA UWAJIBIKAJI KWA JAMII NA UTAWALA BORA KWA WATENDAJI WA KATA NA MABARAZA YA KATA GEITA

Mafunzo ya Mfumo wa Ufuatiliaji wa uwajibikaji kwa jamii na utawala bora kwa watendaji wa Kata na Mabaraza ya Kata Geita.
Na Marco Maduhu, GEITA
TIMU ya Wanasheria watetezi wa Mazingira kwa vitendo Lawyers Environment Action Team (LEAT), wameendelea na utoaji wa mafunzo...
KAMPUNI ZA UCHIMBAJI MADINI ZATAKIWA KUJENGA MAHUSIANO MAZURI NA JAMII

Na Mwandishi wetu,TABORA.
SERIKALI imezielekeza kampuni za uchimbaji madini kuhakikisha wanaendelea kushiriki katika shughuli za kijamii ili kujenga mahusiano mazuri na wananchi wanaozunguka maeneo ya migodi.
Hayo yamebainishwa na Kaimu Afisa Madini Mkazi Mkoa wa Tabora Mhandisi, Abel Madaha ...
Tuesday, 4 April 2023
TSH MILIONI 5 ZA MERIDIANBET KASINO YA MTADAONI KUTOKA WIKI HII

Aprili ya Kishua unaambiwaje jisajili Meridianbet upate mizunguko 50 ya bure kucheza sloti ya kasino ya mtandaoni. Kujisajili bonyeza hapa: https://a.meridianbet.co.tz/c/0aIpIo
Promosheni Kabambe ya Endorphina
Ni kosa kubwa sana kwa kijana na mtu yeyote kukata tamaa...