Tuesday, 4 April 2023

WIZARA YA ARDHI YAFUTURISHA WATUMISHI WAKE

Na Munir Shemweta, WANMM Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi imewafuturisha watumishi wake waliopo Wizarani na ofisi ya Kmishna wa Ardhi Msaidizi mkoa wa Dodoma. Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula na Naibu wake Geofrey Pinda waliwaongoza viongozi wa wizara...
Share:

AUAWA KWA KUPIGWA JIWE AKINYWA POMBE BAA MJINI SHINYANGA, MWINGINE AKIIBA MAHINDI SHAMBANI

Kaimu Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Shinyanga kamishna msaidizi wa Polisi Leonard Nyandahu Na Mapuli Misalaba, Shinyanga Watu wawili wamefariki Dunia katika matukio mawili tofauti yaliyotokea katika Manispaa ya Shinyanga likiwemo la mwanaume kuuawa akiiba mahindi shambani na mwingine kupigwa...
Share:

DITOPILE AGAWA FUTARI KONDOA, ASISITIZA KUIOMBEA NCHI NA KUMUOMBEA RAIS SAMIA

Katika Muendelezo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Dodoma Mhe. Mariam Ditopile amegawa Futari kwa Wazee, Wajane na watu wasio jiweza Wilaya Kondoa Mkoani Dodoma. "Kwa imani yetu miezi yote ni bora lakini mwezi mtukufu wa Ramadhani ni bora zaidi, na pia tunaambiwa katika...
Share:

HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO JUMANNE APRILI 4, 2023

...
Share:

Monday, 3 April 2023

ALIYESHINDA TSH MIL 54 KASINO YA MTANDAONI ATOA SIRI

Mchezo uupendao kuna Aviator, Poker, Titan Roulette na mingine mingi. Kujisajili bonyeza hapa https://a.meridianbet.co.tz/c/GLd6O8     Safari moja huanzisha nyingine ni usemi ambao unafanya kazi haswa kwa majokeri ambao huishi kwa kutegemea ubashiri wa Soka unaopewa odds...
Share:

Video : YALEO KALI - FAGILIA YA ANITHA

 ...
Share:

LEMBELI ASHIRIKI SHEREHE YA MWANZILISHI WA TAASISI YA JANE GOODALL NCHINI MAREKANI

Mbunge wa zamani wa Jimbo la Kahama-James Lembeli ( maarufu Ng'wana Maria) katika picha kwenye hafla ya kumpongeza Mwanzilishi wa Taasisi ya Jane Goodall Dk. Jane Goodall na Balozi wa heshima wa Umoja wa Mataifa wa Amani kutimiza miaka 89 iliyofanyika katika Hotel ya Litz Carlton, New York - Marekani...
Share:

Video Mpya Kaliii!! LIMBU LUCHAGULA - MUNGU WANGU

 ...
Share:

Sunday, 2 April 2023

HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO JUMATATU APRILI 3,2023

...
Share:

JAMES LEMBELI AENDA NEW YORK, MAREKANI

  Mbunge wa zamani wa Jimbo la Kahama-James Lembeli ( maarufu Ng'wana Maria) amendoka nchini mwishoni mwa wiki iliyopita kwenda New York nchini Marekani. Akiwa mjini,humo Lembeli alitarajiwa kuhudhuria sherehe maalum ya kutimiza miaka 89, muasisi wa taasisi ya Jane Goodall ambayo chimbuko lake...
Share:

YANGA SC YAICHAPA TP MAZEMBE 1-0 UGENINI

********************** NA EMMANUEL MBATILO KLABU ya Yanga imefanikiwa kuondoka na ushindi kwenye mechi yake ya mwisho hatua ya makundi Kombe la Shirikisho barani Afrika baada ya kufanikiwa kuichapa TP Mazembe kwa bao 1-0 , mchezo uliopigwa nchini DR Congo. Yanga SC imefanikiwa kupata bao kipindi...
Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © 2025 MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger