Sunday, 2 April 2023

BARRICK YADHAMINI KONGAMANO LA WANAFUNZI WA VYUO VIKUU LILILOFANYIKA CHUO KIKUU CHA DODOMA

Afisa Raslimali Mwandamizi wa Barrick Bulyanhulu,Renatus Malawa, akiongea na Wanafunzi katika kongamano la kuwajengea uwezo lililoandaliwa na taasisi ya AISEC Tanzania na kufanyika katika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM). Afisa Raslimali Mwandamizi wa Barrick Bulyanhulu,Renatus Malawa, akiongea na Wanafunzi...
Share:

BENKI YA CRDB YAWAPA SOMO WANAFUNZI WA CHUO KIKUU DODOMA

Kaimu Mkuu wa Kitengo cha mafunzo na uendelezaji wa wafanyakazi benki ya CRDB Edith Muyombela akizungumza na wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) alipoelezea huduma zinazotolewa na benki hiyo lililofanyika Aprili 01,2023 katika ukumbi wa CIVE Auditorium chuoni hapo Jijini Dodoma Benki ya CRDB...
Share:

KAMATI YA BUNGE YAIPONGEZA REA NA KUHAMASISHA WANANCHI KUCHANGAMKIA FURSA ZA UMEME VIJIJINI

Veronica Simba na Issa Sabuni - REA Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC) imesema imeridhishwa na utekelezaji wa miradi ya umeme vijijini mkoani Singida na imewashauri wananchi wanaoishi vijijini waliofikiwa na huduma ya umeme, kuitumia nishati hiyo kwa matumizi yenye tija...
Share:

DCEA KUANZA MSAKO KUDHIBITI BIASHARA NA MATUMIZI YA DAWA ZA KULEVYA

**********  KAMISHINA Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya DCEA), Aretas James Lyimo ametaja malengo yake ambayo ameingia nayo ili kuhakikisha mamlaka hiyo inadhibiti kabisa biashara na matumizi ya dawa za kulevya nchini. Ameyasema hayo leo Aprili Mosi, 2023 mkoani...
Share:

Saturday, 1 April 2023

HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO JUMAPILI APRILI 2, 2023

...
Share:

DKT. ABBASI: TUTAITANGAZA NCHI KWA VIWANGO VYA KIMATAIFA

Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii, Dkt. Hassan Abbasi, amesema nia kuu ya Wizara hiyo kwa sasa ni kufanya uhifadhi na kutangaza utalii kwa viwango vya kimataifa. Dkt. Abbasi ameyasema hayo leo Aprili 1, 2023 alipotembelea Hifadhi ya Taifa ya Mikumi na kukutana na viongozi wa hifadhi hiyo...
Share:

MALUNDE ASHINDA TUZO YA MTU BORA WA VYOMBO VYA HABARI 2022/2023 'BEST MEDIA PERSONALITY AWARD'

Mkurugenzi wa Mtandao Maarufu wa Malunde 1 blog www.malunde.com ndugu Kadama Malunde ametangazwa kuwa mshindi wa Tuzo ya Mtu Bora wa Vyombo vya Habari Shinyanga 'Best Media Personality Awards 2022/2023' zilizoandaliwa na Taasisi ya Holysmile ambayo ni inatoa huduma za Sanaa, Utamaduni na Burudani...
Share:

ZAIDI YA WAGONJWA 410 WAHUDUMIWA KATIKA KAMBI MAALUM MKOANI TABORA

Na Mwandishi wetu- Tabora Zaidi ya wagonjwa 410 wamepata matibabu ya kibingwa na kibobezi katika kambi maalum ya siku 5 iliyofanyika katika hospitali ya Rufaa Nkinga, Tabora kwa ushirikiano wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI) na hospitali ya Rufaa Nkinga ambapo wagonjwa 20 wamefanyiwa upasuaji...
Share:

DITOPILE AUNGANA NA WANA KONGWA KWA IFTAR, WAMUOMBEA DUA RAIS SAMIA

Katika Muendelezo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Dodoma Mhe. Mariam Ditopile ameungana na Waumini zaidi ya 500 katika Msikiti mkubwa Kata ya Mkoka, Wilayani Kongwa Mkoani Dodoma katika Iftari na Dua Maalum ya kuiombea Nchi na kumuombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
Share:

SIMBA SC YASHINDWA KUFURUKUTA MBELE YA RAJA CASABLANCA, YANYUKWA 3-1

Simba SC imemaliza michezo ya hatua ya makundi kwa kufungwa 2-1 dhidi ya kinara wa kundi hilo, Raja Casablanca (Morocco) aliyeshinda michezo 5 na kusare 1 hivyo kupata alama 16. Raja Casablanca ilianza kupata bao kupitia kwa Hamza Khabba kabla ya Simba Sc kusawazisha kupitia kwa mshambuliaji wao...
Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © 2025 MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger