
Kampeni ya upandaji miti ikiendelea katika shule ya Msingi Ndembezi Manispaa ya Shinyanga.
Na Marco Maduhu, SHINYANGA
CHAMA kisicho cha kiserikali Tanzania Girl Guides Association kimeendesha Kampeni ya upandaji miti katika shule ya Msingi Ndembezi Manispaa ya Shinyanga, ili kukabiliana...