
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Watu wenye Ulemavu, Prof.Joyce Ndalichako,akizungumza wakati akifungua Mkutano wa Baraza la Wafanyakazi wa Ofisi hiyo lililofanyika leo Januari 10,2023 jijini Dodoma.
Katibu Mkuu wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Watu wenye...