Mwanafunzi mwenye umri wa miaka 6 amempiga risasi na kumjeruhi mwalimu wake, katika jimbo la Virginia.
Mwanafunzi huyo mvulana, amekamatwa na polisi baada ya tukio hilo katika shule ya msingi ya Richneck.
Mkuu wa polisi Steve Drew amesema kwamba tukio hilo halikuwa la kimakosa na kwamba mwalimu,...
Leo Januari 8 ni Kumbukumbu ya Kuzaliwa kwa Mkurugenzi na Mmiliki wa Mtandao wa Malunde 1 blog (www.malunde.com), ndugu Kadama Malunde mkazi wa Shinyanga Tanzania. Happy Birthday!!...
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendelo ya Makazi Dkt. Angeline Mabula akiongea na viongozi wa Mkoa wa Dar es Salaam na Pwani kuhusu zoezi la utatuzi wa migogoro ya ardhi ya Mitaa na Vijiji 975 zoezi ambalo limehitimishwa leo Mkoani Dar es Salaam. Waziri wa TAMISEMI Angela Kairuki akiongea na viongozi wa...
Minza Mayenga (47) mkazi wa Mkoa wa Simiyu ambaye ni mama wa watoto tisa aliyekatwa mapanga na mme wake sehemu za kichwa na mkono Novemba 30,2022 akiwa katika hospitali ya wilaya mji wa Bariadi Somanda.
Na Mwamvita Issa
Kwa siku za hivi karibuni wanandoa wamekuwa ni wahanga wakubwa wa...
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi, Sekta ya Uchukuzi, Zanzibar, Ndg. Shomari Omar Shomari (katikati), akizungumza na wadau wa usafiri kwa njia ya anga na maji kutoka SMZ na SMT wakati wa kujadili mapendekezo ya andiko la sheria ya Utafutaji na Uokoaji katika ukumbi wa ZURA,...
Mwandishi Nguli /Mwandamizi Shija Felician amekutana na Manju Madebe kutoka Nzega Tabora ambaye ameelezea Historia yake... Manju huyu maarufu anasema Aliwahi Kufa, pia alikuwa analima na kuvuna muda huo na alikuwa anaita nyuki na kulina asali.. Fuatilia hapa maajabu ya Msukuma huyu...
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Shinyanga Mhe. Mabala Kashindye Mlolwa akizungumza na Waandishi wa Habari leo Jumamosi Januari 7,2023 katika ofisi za Makao Makuu ya CCM Mkoa wa Shinyanga. Picha na Kadama Malunde
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Shinyanga Mhe. Mabala Kashindye Mlolwa akizungumza na Waandishi wa...
Mfano mwanafunzi akivuta bangi
Mwenyekiti wa mtaa wa Dome Solomon Najulwa akizungumza kwenye kikao cha mtaa huo
Na Suzy Luhende, Shinyanga Press Club Blog
Mwenyekiti wa mtaa wa Dome kata Ndembezi Manispaa ya Shinyanga Solomon Najulwa amewataka wanafunzi wote wa mtaa wa Dome waliofaulu kuingia kidato...