Idara ya elimu Mkoa wa Dodoma imefanya kikao kazi cha wadau wa elimu Mkoa kilichohudhuriwa na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule akiwa ndiye mgeni rasmi wa kikao hicho kililichofanyika katika ukumbi wa Kanisa la Tanzania Assemblies of God (TAG) eneo la Mipango Jijini Dodoma.
Katika...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, ametengua uteuzi wa Kamishna Diwani Athumani Msuya, aliyemteua tarehe 03 Januari, 2023 kuwa Katibu Mkuu Ikulu.
Aidha, Rais Samia amemteua Bw. Mululi Majula Mahendeka kuwa Katibu Mkuu Ikulu. Bw. Mahendeka alikuwa Afisa Mwandamizi...
Polisi
Afisa wa polisi nchini Kenya aliyefunga ndoa Desemba mwaka jana, amefumaniwa chumbani akiwa na mke wa mtu, katika nyumba moja mtaa wa Eastlands jijini Nairobi.
Mwanamume huyo aliyemfumania Afisa wa Polisi, imeelezwa kwamba alikuwa amesafiri kwenda kijijini na aliporudi nyumbani akamkuta...
Mwanamke mjamzito mwenye umri wa miaka 21, na mtoto wake aliyekuwa tumboni walifariki dunia wakati gari la wagonjwa lililokuwa likimkimbiza hospitalini kupoteza mwelekeo na kuanguka.
Ripoti zinaeleza kuwa muuguzi wa kiume aliyekuwa ameandamana na mwanamke huyo pia alifariki dunia katika ajali hiyo...
Mwanaume mmoja raia wa Nigeria aliyetambulika kwa jina la Nkanu, amefunga pingu za maisha na wanawake wawili siku moja katika jimbo la Cross River.
Nkanu aliwaoa Mary na Jennet siku moja katika sherehe ya harusi iliyofanyika Jumamosi, Disemba 31, 2022, katika Uwanja wa Michezo wa Bazohure.
Picha...
Veronica Wana kutoka Kituo cha Taarifa na Maarifa cha Kivule akisoma maoni na mapendekezo katika eneo la masuala mtambuka ya Jinsia hasa kwenye vipaumbele muhimu kwenye upangaji wa Bajeti yenye mrengo wa Usawa wa Kijinsia kwa wadau wa Usawa wa Kijinsia(Bajeti Jumuishi) kwenye Bajeti ya Halmashauri...
Jeneza la mfalme wa soka duniani hayati Pele.
Rais wa Brazil Luiz Inacio Lula da Silva Jumanne anaongoza mazishi ya bingwa wa kandanda Pele ambaye atakumbukwa kama mchezaji bora zaidi katika historia ya kandanda.
Baada ya siku tatu za maombolezo, wananchi wa Brazil walitoa heshima zao za mwisho...
Waandishi wa habari mkoani Lindi wamehimizwa wathamini kazi na taaluma yao ya uandishi wa habari ili taaluma hiyo na wao wenyewe waweze kuthaminiwa.
Wito huo ulitolewa juzi na mkuregenzi mtendaji wa halmashauri ya wilaya ya Kilwa, Eston Ngilangwa wakati wa mkuu mkutano mkuu maalumu wa klabu ya waandishi...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko ya nafasi za uongozi katika Serikali ambapo amemteua Balozi Hussein Othman Katanga kuwa Balozi wa Tanzania mjini New York, nchini Marekani na Mwakilishi wa Kudumu katika Umoja wa Mataifa.
Kupitia taarifa iliyotolewa...