
Jabir Hamisi, mkazi wa mtaa wa Mwatulole, mkoani Geita, amenusurika kuuawa kwa kipigo na mamia ya wananchi, baada ya kukutwa akiwa na kundi la watoto wadogo, akiwafundisha vitendo vya ushoga na ulawiti, hali iliyolazimu Jeshi la Polisi mkoani humo kuingilia kati na kumuondoa katika eneo hilo, ili...