Thursday, 3 November 2022

WATEJA BENKI YA CRDB WAJISHINDIA SAFARI YA QATAR KUSHUHUDIA KOMBE LA DUNIA

Benki ya CRDB leo imehitimisha awamu ya kwanza ya kampeni yake ya “Tisha na TemboCard” kwa kuwakabidhi tiketi za kushuhudia mashindano ya Kombe la Dunia wateja wake wanne walioibuka washindi wa jumla wa kampeni hiyo. Akizungumza katika hafla ya kubadhi tiketi hizo iliyofayika kwenye makao makuu...
Share:

MISA-TAN YATOA MAFUNZO UHURU WA KUJIELEZA KWA WANAHABARI

Marko Gideon akitoa mafunzo ya uhuru wa kujieleza kwa wana habari yaliyo ratibiwa na Misa-Tan. Na Marco Maduhu, SINGIDA WANAHABARI wapatao 40 kutoka Mikoa ya Tabora, Dodoma, Shinyanga, Simiyu na Singida, wamepewa mafunzo ya kuandika habari za kukuza uhuru wa kujieleza. Mafunzo hayo yameanza kutolewa...
Share:

TANZANIA NA KOREA KUSINI ZAINGIA MAKUBALIANO KUIMARISHA SEKTA YA ARDHI

Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi wa Tanzania Dkt Angeline Mabula (Kulia) na Waziri wa Ardhi, Miundombinu na Usafirishaji wa Korea Kusini Bw. Won Hee-ryong wakisaini hati ya makubaliano (MOU) ya ushirikiano kwenye sekta ya ardhi na menejimenti ya taarifa za kijiografia jijini Seoul Korea...
Share:

MWENDESHA BODABODA AUAWA KWA KUPIGWA RISASI NA MAJAMBAZI GEITA

Kijana Amin Salum Mkazi wa Mtaa wa Nyamarembo Wilaya ya Geita Mkoani Geita Ambaye ni Dereva wa Pikipiki Maarufu Kama Bodaboda amefariki dunia kwa kupigwa risasi na watu wanaozaniwa kuwa majambazi nyakati za usiku. Salum Alipigwa risasi wakati akiendelea na Majukumu yake ya kutoa huduma ya usafiri...
Share:

DIWANI AAHIDI HUDUMA YA MAJI NA UMEME KWA WANANCHI NA TAASISI ZA ELIMU

Diwani wa kata Bwilingu katika halmashauri ya Chalinze mkoa wa Pwani Mh. Nassar Karama Diwani wa kata Bwilingu katika halmashauri ya Chalinze mkoa wa Pwani Mh. Nassar Karama NA ELISANTE KINDULU, CHALINZE DIWANI wa kata ya Bwilingu katika Halmashauri ya Chalinze, Mh. Nassar Karama ameahidi huduma...
Share:

Wednesday, 2 November 2022

HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO ALHAMISI NOVEMBA 3,2022

...
Share:

MAWAKALA WATANO WAKAMATWA WAKISAJILI LAINI ZA SIMU KWA KUTUMIA NAMBA ZA NIDA ZA WATU WENGINE KAGERA

Mkuu wa Takukuru Mkoa wa Kagera Bw. John Joseph akizungumza na waandishi wa Habari katika ukumbi wa ofisi za Takukuru leo Novemba 02,2022 *** Na Mbuke Shilagi Kagera. Mawakala watano wa kusajili laini za simu wamekutana na mkono wa Taasisi ya kupambana na Kuzuia Rushwa (TAKUKURU) Mkoani Kagera...
Share:

TAKUKURU YABAINI MAPUNGUFU BAADHI YA MIRADI YA MAENDELEO KAGERA

Mkuu wa Takukuru Mkoa wa Kagera Bw. John Joseph akizungumza na vyombo vya habari katika ukumbi wa ofisi za Takukuru. Na Mbuke Shilagi Kagera. Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Kagera imebaini mapungufu katika baadhi ya miradi ya maendeleo wakati wa zoezi la ufuatiliaji...
Share:

HALI YA MAJI MTO RUAHA MKUU NI MBAYA, ZIMETIMIA SIKU 80 BILA KUTIRIRISHA HATA TONE LA MAJI

-Hifadhi ya Taifa Ruaha yasema wanyama wanahangaika, samaki wameanza kufa Na Mwandishi Wetu, Michuzi TV-Ruaha IMEELEZWA kwamba Mto Mkuu Ruaha ambao ni kwa uhai wa hifadhi ya taifa ya Ruaha upo kwenye hali mbaya kutokana na maji yanayopita kwenye mto huo kukauka kabisa na hivyo kusababisha hata...
Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © 2025 MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger