Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetangaza bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli hapa nchini, bezi hizi zitaanza kutumika kuanzia Jumatano, Novemba 02, 2022 saa 6:01 usiku.
...
Mratibu wa Mfuko wa Ruzuku wa wanawake Tanzania (WFT-Trust) mkoani Shinyanga Glory Mbia akizungumza kwenye kikao cha tathimini Mtakuwwa awamu ya kwanza.
Na Marco Maduhu, SHINYANGA
MFUKO wa Ruzuku wa wanawake Tanzania (WFT-Trust) umefanya kikao na mashirika ambayo wameyapatia Ruzuku ya kutekeleza...
Kikao cha Pili cha Mkutano wa Kwanza cha Kawaida cha Bunge la Sita la Afrika (Pan African Parliament - PAP) kinaendelea muda huu leo Jumanne Novemba 1,2022 kikiongozwa na Kauli mbiu ya Umoja wa Afrika kwa mwaka 2022 "Kujenga Uthabiti katika Lishe katika Bara la Afrika : Kuharakisha mtaji wa...
Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Hamad Hassan Chande (Mb) akiwataka wataalamu wa maboresho makubwa ya Mfumo wa Ununuzi Serikalini, kuhakikisha wanamaliza kazi kwa wakati, alipofanya ziara ya kukagua mfumo huo, mkoani Iringa.
Mkurugenzi wa Mifumo na Mawasiliano wa Mamlaka ya Udhibiti wa...
Idadi ya Watanzania ni 61,741,120
Idadi ya Watanzania ni 61,741,120
Hayo yamebainishwa na Rais Samia Suluhu Hassan, muda mfupi uliopita wakati akitangaza matokeo ya sensa ya watu na makazi ya mwaka 2022 iliyofanyika kuanzia Agosti 23 mwaka huu.
Amesema watu 59,851,357 wapo Tanzanzia Bara na...