Sunday, 4 September 2022

RAIS SAMIA AGUSWA NA JITIHADA ZA BENKI YA NBC UWEZESHAJI JAMII KIUCHUMI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu akisalimiana na wanachama wa Saccos ya Kizimkazi Mkunguni Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar wakiongozwa na Mwenyekiti wa Saccos hiyo Bw Said Hamad Ramadhan (wa pili kushoto) wakati wa hafla fupi ya uzinduzi wa jengo la ofisi za Saccos hiyo iliyoambatana...
Share:

KAMATI YA BUNGE YAITAKA OSHA KUONGEZA ELIMU KWA UMMA

Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge la Hesabu za Serikali (PAC), Mhe. Naghenjwa Kaboyoka (kushoto) akizungumza na Wajumbe wa Kamati hiyo pamoja na Viongozi wa OSHA wakati mafunzo ya usalama na afya yaliyotolewa na OSHA kwa Kamati hiyo ambayo yalienda sambamba na zoezi la ukaguzi wa jengo jipya...
Share:

ASKOFU ALIYETAMANI KIFO AFARIKI BAADA YA KUMALIZA KUHUBIRI MSIBANI...KAHUDUMU UASKOFU SIKU 5 TU

Askofu wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Mpwapwa George Chiteto amefariki dunia jana mchana mara baada ya kumaliza kuhubiri katika mazishi ya mke wa Askofu Lugendo wa Dayosisi ya Mbeya Bi. Hilda Lugendo yaliyofanyika wilayani Muheza mkoani Tanga. Tukio hilo la huzuni limekuja ghafla mara baada...
Share:

HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO JUMAPILI SEPTEMBA 4,2022

Magazetini leo Jumapili September 4,2022 ...
Share:

HUYU NDIYE BINADAMU WA KWANZA KUUZA MAISHA YAKE KAMA BIASHARA

Mike Merrill amekuwa binadamu wa kwanza Duniani kuuza uhai wake Mike Merrill MIKE Merrill ndiye mtu pekee duniani anayeuzwa hadharani. Tangu 2008, maisha yake yameelekezwa kwa wanahisa wake, ambao wamenunua hisa ndani yake na kupiga kura juu ya mustakabali wake katika maisha yake kiujumla. Kwenye...
Share:

Saturday, 3 September 2022

KINANA AWAKINGIA KIFUA WAKULIMA WA KAHAWA NA VANILA KAGERA, ATAKA WALIPWE FEDHA ZAO KWA WAKATI

Makamu Mwenyekiti  wa Chama Cha Mapinduzi Taifa Mh. Abdulrahman Kinana akizungumza na wananchi katika ukumbi wa Lina's uliopo kata ya Bilele Manispaa ya Bukoba Mkoani Kagera Baadhi ya wananchi waliohudhuria mkutano wa Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Taifa Mh. Abdulrahman Kinana katika...
Share:

BARABARA ZA TARURA ZALETA SHANGWE HAI WANANCHI WAMPONGEZA RAIS SAMIA

Ujenzi wa barabara za Makoa Darajani-Mferejini (7.3 KM) na Kwasadala -Longoi (6.0 KM) kwa kiwango cha changalawe umeleta faraja na furaha kubwa kwa wananchi wa kata ya Narumu na maeneo mengine ya jirani wilayani Hai, Kilimanjaro kwa kuwaondolea kero kubwa ya barabara iliyodumu kwa muda mrefu. Akiwasilisha...
Share:

AJALI YA BASI LA SUPER NAJIMUNISA YAUA WATU WATANO, KUJERUHI 54 SHINYANGA

  Na Marco Maduhu, SHINYANGA WATU watano wamepoteza maisha huku 54 wakijeruhiwa ajali ya Basi na Fuso kugongana uso kwa uso eneo la Ibadakuli Manispaa ya Shinyanga. Ajali hiyo imetokea leo Jumamosi Septemba 3,2022 majira ya Saa 8 usiku, ikihusisha basi  Kampuni ya Super Najimunisa yenye...
Share:

ASKOFU MACHIMU AMPONGEZA RAIS SAMIA ,KWA KUTOA RUZUKU YA MBOLEA KWA WAKULIMA

Askofu Raphael Machimu akiwasihi waumini kuliombea Taifa la Tanzania na kumpongeza Rais Samia Suluhu Hassan kutoa ruzuku ya mbolea kwa wakulima. Askofu Raphael Machimu akizungumza kanisani Askofu wa Kanisa la EAGT Ushirika Makimbilio Healing Center mjini Shinyanga, Raphael Machimu amempongeza Rais...
Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © 2025 MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger