Waziri wa Madini Dkt. Doto Biteko na Mkurugenzi wa Gold Fm, Neema Mghen wakikata keki wakati wa Sherehe za Maadhimisho ya Mwaka Mmoja wa Gold Fm
Na Kadama Malunde - Malunde 1 blog
Waziri wa Madini Dkt. Doto Biteko ameongoza Sherehe za Maadhimisho ya Mwaka Mmoja wa Redio ya Kibiashara inayomilikiwa...