
Afisa Mazingira NEMC Bw.Erick Fussi akimuonesha Waziri Jafo baadhi ya Mifuko ambayo wameikamata katika kiwanda cha Swallow investment Ltd mara alipofanya ziara katika kiwanda hicho kilichopo Tegeta Jijini Dar es Salaam.Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Dkt. Selemani Jafo...