Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Sophia Mjema akizungumza wakati akifungua kikao cha Tathmini ya Utekelezaji wa Mktaba wa Lishe kwa kipindi cha 2021/2022 na Kampeni ya Polio kwa awamu ya tatu kwa watoto chini ya miaka mitano.
Na Kadama Malunde - Malunde 1 blog
Mkuu wa Mkoa wa...
Friday, 2 September 2022
RAIS SAMIA AZINDUA MAABARA YA SAYANSI SKULI YA KIZIMKAZI ILIYOJENGWA NA BENKI YA CRDB

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Samia Suhuhu Hassan (watatu kushoto) kwa pamoja na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar, Lela Mohammed Musa (wapili kushoto), Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela wakikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa Maabara ya Sayansi...
DARAJA LA ESURI LALETA UKOMBOZI KWA WANANCHI OLORESHO

Wananchi wa Oloesho katika kata ya Olasiti na Olmoti, Halmashauri ya Jiji la Arusha wamepata faraja na kufurahia ujenzi wa daraja la Esuri lenye urefu wa meta 17 na upana wa meta nane (8) lililojengwa na Wakala wa Barabara Vijijini na Mijini (TARURA) kwa takribani shilingi 335,092,557.00.
Akisoma...
BODABODA AKATWA SHINGO, APORWA PIKIPIKI BUNDA

Na Adelinus Banenwa - Bunda
Mtu mmoja ambaye ni dereva bodaboda aliyetambulika kwa jina la ISSA SAGUDA (22) mkazi wa Rubana kata ya Balili, Halmashauri ya Mji wa Bunda mkoani Mara amekutwa amepoteza Maisha kwa kukatwa na kitu chenye ncha kali shingoni na tumboni maeneo ya shule ya msingi Rubana.
Tukio...
WAWEKEZAJI ARUSHA WAMWAGIA SIFA RAIS SAMIA UJENZI WA BARABARA ZA TARURA

Wawekezaji na wananchi wa kata ya Themi, Halmashauri ya Jiji la Arusha wamemsifu na wamempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuwajali na kuwajengea kwa kiwango cha lami barabara za Themi -Viwandani zenye urefu wa kilometa 1.4 kwagharama ya shiligi 1,175,141,850.00.
Pongezi hizo zimetolewa wakati...