Picha haihusiani na habari hapa chini
Mwanamke aliyetambulika kwa jina la Kabula Ngasa mwenye umri wa miaka 60, mkazi wa kijiji cha Nyida Kata ya Nyida katika Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga , ameuawa na watu wasiojulikana kwa kukatwa panga sehemu mbalimbali za mwili wake.
Mwenyekiti wa kijiji...
Picha haihusiani na habari hapa chini
KUNDI la nyuki ambalo halikujulikana limetokea wapi limezua taharuki baada ya kuvamia Shule ya Msingi ya Kamena Wilaya ya Liwale mkoani Lindi na kujeruhi walimu na wanafunzi.
Taarifa kutoka wilayani humo na kuthibitishwa na mmoja wa walimu wa shule hiyo, Rehema...
Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa Sahili Nyanzabara Geraruma, akikata Utepe kwenye Mradi wa Majisafi na salama wa Nyamilangano Halmashauri ya Ushetu ambao unatekelezwa na RUWASA.
Na Marco Maduhu, USHETU
KIONGOZI wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa Sahili Nyanzabara Geraruma, ameweka jiwe...
Watu kumi wamepoteza maisha nchini Uganda kufuatia mafuriko makubwa mashariki kwa taifa hilo la ukanda wa Afrika Mashariki, shirika la Msalaba Mwekundu lilisema Jumapili.
Mvua kubwa ilisababisha mito kufurika na maji kusambaa hadi katika maboma ya watu na barabara huku Red Cross ikielezea uwezekano...
Polisi jijini Nairobi wanamsaka mfungwa mwenye umri wa miaka 19, ambaye alitoroka katika Kituo cha Polisi cha Viwandani.
Katika kisa hicho cha Jumatano, Julai 27, Erickson Khata aliomba ruhusa ya kuoga na afisa aliyekuwa kwenye zamu alimsindikiza kuchota maji na kuoga.
Hata hivyo, Khata alitumia...