
Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano wa Benki ya NBC, Godwin Semunyu(wa kwanza kushoto) na Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Masoko wa NBC, David Raymond wakiwa kwenye picha ya pamoja wakati wa uzinduzi wa zawadi watakazokabidhiwa washindi wa mbio za Kimataifa za NBC Dodoma international Marathon 2022.Kulia ni mtangazaji...