
Shirikisho la Soka Kimataifa (FIFA) lipo kwenye mkakati wa kutambulisha maroboti watakaokuwa waamuzi wa pembeni katika michuano ya Kombe la Dunia itakayofanyika Qatar, Novemba mwaka huu 2022.
Kwa mujibu wa taarifa, FIFA ipo tayari kuanzisha mfumo huo wa maroboti kuchezesha mechi za michuano hiyo...