Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Sophia Mjema akizungumza wakati wa kufunga Tamasha la Utamaduni Mkoa wa Shinyanga katika Kijiji cha Utamaduni wa Kabila la Wasukuma Butulwa – Old Shinyanga Manispaa ya Shinyanga Jumanne Juni 7,2022 . Picha na Kadama Malunde – Malunde 1 blog
Na Kadama Malunde – Malunde...
Wednesday, 8 June 2022
HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO JUMATANO JUNI 8,2022

Magazetini leo Jumatano June 8 2022
Sabaya aumwa, ahitaji upasuaji wa kichwa...
...
TANESCO NI-KONEKT YAIBUA SHANGWE CHATO

Meneja wa Tanesco wilaya ya Chato ukitoka maelezo ya namna ya kutumia njia Bora ya kidijitali ya Ni-konekt
Wafanyakazi na mafundi wa Tanesco chato wakiwa kazini
Na Daniel Limbe, Chato
WAKAZI wa kata ya Bwina wilayani Chato mkoani Geita, wamepata fura kubwa baada ya shirika la umeme nchini (Tanesco)...
Tuesday, 7 June 2022
TBS YAWAELIMISHA WAZALISHAJI WA MAZAO NAMNA YA UDHIBITI WA SUMUKUVU

**********************
SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) limeendelea kutoa mafunzo kuhusu Udhibiti wa Sumukuvu kwa Mazao ya Mahindi,Karanga pamoja na bidhaa zake kwa wafanyabiashara, Wazalishaji na Wasindikaji kutoka Buchosa wilayani Sengerema.
Akizungumza wakati akifungua Mafunzo hayo wilayani...
MAADHIMISHO YA SIKU YA CHAKULA SALAMA DUNIANI: TBS YAHIMIZA UZINGATIAJI WA USALAMA WA CHAKULA

Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS), Mhandisi Johaness Maganga (katikati) akizungumza katika maadhimisho ya Siku ya Chakula Salama Duniani (World Food Safety Day) yaliyofanyika leo Juni 7,2022 katika ofisi za TBS Jijini Dar es Salaam. Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Viwango...
TBS YAWATAKA WAJASIRIAMALI WA BIDHAA ZA USINDIKAJI WA VYAKULA KUTUMIA MAFUNZO WANAYOPEWA KUKUZA BIASHARA ZAO

Maafisa wa TBS wakimweleza mjasiriamali taratibu za kupata leseni ya kutumia alama ya ubora ya TBS sambamba na taratibu za kuzalisha bidhaa zenye ubora kama uzingatiaji wa usafi na mpangilio sahihi wa eneo.
Meneja wa Huduma za Maktaba na Taarifa, Bi. Bahati Samilani akiwaelekeza wateja jinsi kuangalia...
CCU KUTUMIA BILIONI 9.6 KUNUNUA PAMBA CHATO

Na Daniel Limbe, Chato
MSIMU wa ununuzi wa pamba ukiwa umezinduliwa hivi karibuni nchini, Chama kikuu cha ushirika cha Chato (CCU) kinatarajia kutumia takribani shilingi 9.6 bilioni, kununua pamba safi kwa msimu wa 2022/23.
Mwenyekiti wa Chama hicho, Greon Chandika, amesema hayo leo wakati akizungumza...